Usiku wa Afrimma Awards ni leo, Alikiba kumnyoosha Diamond

Huyo mda wake ulishaisha aliuchezea ujana sa ivi zamu ya wengine hata afanyeje kumpiku diamond ni ndoto anapaishwa na bifu tu lililotengenezwa na mashabiki wake na wa diamond ila kiuhalisia mda wake ulishaisha
 

Eti kura nyingi kiba utafikiri aliziona, "words of loosers"
 
Mbele hapaongeki wala haparogeki" hardwork pays bro kada amestahili hzo tuzo3 zake
 
pwilo huyu mwenzako vipi njoo humufariji basi
 
Last edited by a moderator:
uchawi tu hamna kingine.

Hizo ni tuzo za kimataifa,msifikiri ni zile mituzo yenu ya mlimani city,na msipende kubishana na ukweli,diamond is the best inawezekana ndio maana hata hao majudge wameona ni kichekesho kumnyima diamond na kumpa kiba,hlf kingne "tatizo nyota"
 
Kiba hatumii akili kunyanyua kazi zake.alidai hana mpinzani akachukua likizo,hilo ndilo kosa atamkimbiza diamomd hadi kiama
 
Huyo mda wake ulishaisha aliuchezea ujana sa ivi zamu ya wengine hata afanyeje kumpiku diamond ni ndoto anapaishwa na bifu tu lililotengenezwa na mashabiki wake na wa diamond ila kiuhalisia mda wake ulishaisha

Umezungumza point kubwa sn mkui, inshot kiba anapaishwa kwakushindanishwa na domo, yan saiv ukimtaja diamond lazima nyuma yake umtaje kiba anatumia madhaifu ya diamond kujiboost, kama angekua anakubalika baas angetusua kua maarufu afrika tangu awali aliposhirikishwa na r kelly bt ni kama alipata zali la mentali iv, saiv atafamika mbal zaid coz anashindanishwa na diamond, vinginevo diamond akiacha mziki kiba anapotea kabsaa, huo ndoukweli
 
Hivi wanaomlinganisha Mond na Kiba huwa ni serious discussion au Kujaribu kumpa promo kiba?
Honestly Kiba hawezi kuwekwa group moja na Mond, labda na akina ommy dimpoz.
Ukweli mchungu.
Dimpoz? Kiba ni sawa na msaga sumu usitake kumpa hadhi asiostahili
 
Ka kiba kahujumiwa vp eddy kenzo ambae ashachukua tuzo kubwa mbona haongei hayo unayosema
Kuwa best artist east africa c o kujulikana tz tu na kupigiwa kura na mashabiki bali ni juhudi, kujulikana kwa msanii nchi zote za afrika mashariki na nyimbo zake ku hit na kupendwa na watu wengi
Bora ukubali tu kuliko kutoa sababu za ajab kiba mwenyewe kanyamaza na ukwel anaujua
 

Well said.. kama ambavyo Wema anatembelea nyota ya Diamond. Wema hawezi tajwa bila Diamond kutajwa..
 
Eddy kenzo aliteuliwa vipengele 4 na hajapata hata kimoja sasa yeye asemaje? wewe unazungumzia kiba alitajwa kipengele kimoja
 
Ha haa haaa 😂😂😂😂😂 hongera Mondi 👏👏👏👏👏
 

Shenzytype na wakomeshwe tu. Kwanza sinunui tena kazi ya hao wanamziki type ya Alikiba zaidi ya kuwaibia tu kazi zao kwa kufyonza kwenye disc. Watakata mauno majukwaani hadi wakome. Nafuu yao ni pale watakapopata mab....sha huko ulaya.
 


Acha ujjinga ww huyo kiba wako hana time na yanayoendelea. yuko bize na jokate kinachokutoa povu nini?? Acha wanaozitaka tuzo wazitafute na wazipate tuu..yeye mikakati yake ni kumchukua jokate mwenzake mikakati yake kuchukua tuzo
 
Shenzytype na wakomeshwe tu. Kwanza sinunui tena kazi ya hao wanamziki type ya Alikiba zaidi ya kuwaibia tu kazi zao kwa kufyonza kwenye disc. Watakata mauno majukwaani hadi wakome. Nafuu yao ni pale watakapopata mab....sha huko ulaya.

Hahahahaha sio fresh bro, uwe unafyozea mikito.com basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…