Usiku wa deni huko Sudan haukawii kucha

Usiku wa deni huko Sudan haukawii kucha

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Naaaaam, baada ya Simba kufuzu hatua ya makundi kwa mbinde, imebaki zamu ya Azam, kipanga na Yanga.

Azam wanaongoza kwa bao 1 na gemu wameikamata hasa, wapunguze kupanick, magoli nayaona kama manne hivi, Kipanga had ss hv kapigwa bao 3 na ni dakika ya 70.

Shughuli inayosubiriwa na wengi ni kule Sudan, he he he he usiku wa deni haukawii kucha.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Funga bakuli lako ya sudan ayakuhusu angalia ya kwako
 
Simba tumeingia makundi "kwa mbinde" 😂😂😂 ilibaki 🤏 wapindue meza
 
Back
Top Bottom