Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Siku ya aibu kuu
Subiri aibu inakujaHuko Sudan vipi mpaka muda huu?
Funga bakuli lako ya sudan ayakuhusu angalia ya kwakoNaaaaam, baada ya Simba kufuzu hatua ya makundi kwa mbinde, imebaki zamu ya Azam, kipanga na Yanga.
Azam wanaongoza kwa bao 1 na gemu wameikamata hasa, wapunguze kupanick, magoli nayaona kama manne hivi, Kipanga had ss hv kapigwa bao 3 na ni dakika ya 70.
Shughuli inayosubiriwa na wengi ni kule Sudan, he he he he usiku wa deni haukawii kucha.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app