Usiku wa kisamvu cha kopo

anasbo

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
5,065
Reaction score
9,360
Wakuu naomba muongozo, nimekuta haya matangazo kadhaa mitandaoni yakiongozwa na bidada Al-maaruf Mariam Biriani yene jina la USIKU WA KISAMVU CHA KOPO.

Kwa kweli hilo jina na hizo picha za matangazo zimenisisimua kidogo. Kuna nini huko naomba kujua, kama nini nijiandae tu

 
Lile jukwaa lirudi tu



Naona shoga aggrey anazidi kujinadi tu
 
Kwa kweli hilo jina na hizo picha za matangazo zimenisisimua kidogo.
  • Mtunzi wa Tangazo kafanikiwa kwa kiwango kikubwa, Ametimiza lengo, na wewe umemsaidia kujitangaza zaidi., bila ya kujua wala kulipwa.
  • Ukisikia mjini shule, akili kichwani ni katika events kama hizo.
  • Muuandaa event tayari ana target yake ya kujiingizia kiasi kadhaa cha fedha cha kufungia mwaka.
  • Na target ya wateja anaifahamu fika, kwa nini asiwatumie ili kujipatia kipato!
 
Kwahio hii show itakua ya ma mende [emoji221][emoji221][emoji221]na ubwabwa Nazi[emoji493][emoji493]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…