Usiku wa kisamvu cha kopo

Huko Dar kwenu kuna maeneo kama Tabata, Tandale, Kigogo, Kawe, Manzese, Kinondoni, Mbagala, Sinza, Temeke, Gomzi, Vingunguti na M/Nyamala sio rafiki na salama kwa malezi na kulea watoto.
Inategemea na mtu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, huyo hanihusu mie watajuana wao ma mashoga wa nchini kwao.

Mie nipo na mama ndo kwanza anafungua Nchi, huo mda wa kufatilia faragha za watu hana. Weuweeeeeeeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16]Tarumbeta la aggrey,yaani hapo ni mwendo wa kunuka mavi kwakwenda mbele,shetani mwenyewe atakimbia eneo hilo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi kupaliwa uwiiiiiih.
 
Chenga tu wanatingishatingisha matakrooo basiiii...
Sema wanaacha hadii uchi waziii wazeee Chaputa wana something to smile about[emoji23][emoji23]

Michicha mibaaa kibaooo aseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huko Dar kwenu kuna maeneo kama Tabata, Tandale, Kigogo, Kawe, Manzese, Kinondoni, Mbagala, Sinza, Temeke, Gomzi, Vingunguti na M/Nyamala sio rafiki na salama kwa malezi na kulea watoto.
Sawa wa kishua, maeneo yenu ya oysterbay,masaki, upanga na mbezi beach ndio salama kwa malezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…