Usiku wa kisasi wa Arsenal na Hatua moja kuchukua kombe ligi kuu

xxtycoon

Member
Joined
Jan 3, 2023
Posts
33
Reaction score
67
Ukiachana na timu zote kuwa vizuri hivi karibu, kwenye mechi ya leo itakuwa ngumu kidogo ila wanangu wa Arsenal tutashinda sababu tukifungwa tena ni dharau 😂😂 na hatuwezi kufungwa kwa sababu kombe tunalitaka na hatumtaki Manchester United kwenye top four 🔫 THE GUNNERS
 
Unafikiri Kuna mwaka Arsenal walipenda kufungwa na Man U, wanachozidiwa Arsenal ni maarifa tu, Arsenal kufungwa na Man U haijawahi kuwa jambo la ajabu.
Ajabu ni pale Arsenal kupata ata sare Kwa United.
 
Mashabiki wa United hawatamani hata jioni iingie wana hofu na kutia huruma sana..
 
Unafikiri Kuna mwaka Arsenal walipenda kufungwa na Man U, wanachozidiwa Arsenal ni maarifa tu, Arsenal kufungwa na Man U haijawahi kuwa jambo la ajabu.
Ajabu ni pale Arsenal kupata ata sare Kwa United.
Sikuhizi umejikita kwenye Yanga hujui trend ya Manure na Arsenal kwa miaka hii
 
Mimi binafsi nilisha waondoa Arsenal katika washindani wa Man U. Ata Arsenal wawe na kiwango kizuri Cha namna gani Kwa timu zingine sijawahi kuwa na shaka juu ya wao kufungwa.
 
Toa dp ya scholes weka ya Mc Tominay ndio itakukumbusha timu uliyonayo miaka hii[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Zingine porojo tu acheni mechi ichezwe turudi tena hapa ubaouni kujudali vizuri....
 
Unafikiri Kuna mwaka Arsenal walipenda kufungwa na Man U, wanachozidiwa Arsenal ni maarifa tu, Arsenal kufungwa na Man U haijawahi kuwa jambo la ajabu.
Ajabu ni pale Arsenal kupata ata sare Kwa United.
Leo ndio Arsenal analipa visasi vyoote
 
Haya sasa Nketiah E kamaliza shughuli huko tutaheshimiana tu.
Ndugu zangu mashabiki wa gunners tuweni makini kuliko kipindi chochote kile jamaa wana jazba sana.
 
Mimi binafsi nilisha waondoa Arsenal katika washindani wa Man U. Ata Arsenal wawe na kiwango kizuri Cha namna gani Kwa timu zingine sijawahi kuwa na shaka juu ya wao kufungwa.
Naomba nikusalimie nimekaa paleeee
 
Mimi binafsi nilisha waondoa Arsenal katika washindani wa Man U. Ata Arsenal wawe na kiwango kizuri Cha namna gani Kwa timu zingine sijawahi kuwa na shaka juu ya wao kufungwa.
Hebu tuambie kuanzia 2019 Man u kama kamfunga Arsenal zaidi ya match 2 tu!
 
Back
Top Bottom