Usiku wa kwanza wa ndoa

Aliona mkate na siagi na SOSeJI

Halafu yeye alikuwa anategemea mayai ya kuchemsha biringanya matango carrots ndizi mbivu na mihogo πŸ˜œπŸ˜œπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ
 
Halafu yeye alikuwa anategemea mayai ya kuchemsha biringanya matango carrots ndizi mbivu na mihogo [emoji12][emoji12][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094][emoji2094]
Hahahah ndio maana kakimbia
 
usiku wa kwanza wa ndoa, itamwagika damu.
kitanda kitaloa, kwa wino wakalamu.
sitaacha ikapoa, hadi iniishe hamu.
chaga nitazitoa,ukinipanda wazimu.
nguo nazichojoa, niuongeze utamu.
halafu nakohoa, nasukuma gurudumu.
Nyie ndo mnakujaga kutusumbua ndoa zikiwashinda mnaanza kuimba mapambia ya kwaya!.. wakati huo utakuja na ushairi..

Kitanda kitaloa,kwa wino wa damu!
Simanzi haijapoa,ndoa kama kuzimu!
Najuta kumuopao,huyu mwana haramu!



Ndoa ni ndoano,na mwiba sijautoa!πŸ˜‚
 
Hahaha hahaaaaaa...... Am ur Yang bro...

Let's go

KwenYe rhymes me ni killer.... Kwenye vner me ni driller..... Kwenye hip hop me n filler....

Am little..... But my name possessed big title...

Hip hop n level za chuo kikuu..... But whY course work zako n level ya kilikuu....

Kama ni kiu bas HaYa ni maji..... Kata Qiu mfamaji......

Nmetumia Course ya uandshi wa ushair.... When i was first Year[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
When you was first year?,,
haijalishi hapa kwangu utatulia,,
Kipigo utachopata wajukuu zako utahadithia,,

Mm adamu ww mbasha,, kwa mitama Leo nakukalisha,,
Mbele ya wanaccm nakuaibisha,,

Acha hip hop nenda kalime,,
Ww kishoka mm vadamme,,
Acha kutetemeka kama binti aliyekutana na mwanaume,,

Alinishindwa Nikki mbishi itakuwa ww
Mzee Yusufu,,
Na mistari ya kuunga ka' mkufu,,
Unaeza Niita diamond nambie zuchu,,

___________Γ—________Γ—_________
 
Umetisha mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…