Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Pwanipain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pwanipain
Gwaride lilimshindaKuna mdada aliolewa tuu aone usiku wa ndoa unafananaje....
Baada ya kuushuhudia akarudi kwao akisema sitaki ndoa tena.....
Aliona Nini....!!!???
Ninayo hamu.. ila mie huogelea pain kuu (deep sea)
Gwaride lilimshinda
Hahaha... ntakufuata hapo pwani ...Usijali, ukiwa unaogelea huko deep sea, mie ntakuwa nakupungia mkono nikiwa nchi kavu (beach) na kukushangilia (cheering) like....
Zaaamiiii Zaaamiiii Zaaamiiii Zaaamiiii Zaaamiiii wuuuhuuuuuu.
Hahaha... ntakufuata hapo pwani ...
Naskia kisheria za nchi hii, siku akidai talaka mahakamani, ukakiri haukupiga mti inakuwa rahisi kupoteza mke....ungeingiza tu hata kichwa hahahahUsiku wa kwanza baada ya ndoa mwanamke alikuwa kwenye siku zake takribani siku saba sikula kitu[emoji39][emoji39]
Hahaha.. nitarudi Kwenye mawimbi ya maji kujiosha...Ukinifuata nachota mchanga nakumwagia mwilini halafu nakimbia mbiiiiooooooo huku napiga kelele 😜
Watu muna vipaji bhana eee!Usiku wa kwanza wa ndoa freestyle
Sihitaji kampani, niko deep romance hadi kwapani.../
Hili gari naliweza niachie usukani, nipite nalo muheza nikawasalimie pwani.../
Bed linanijua kua Scars kuchoka ni nadra, nakamua kiume bila msaada wa viagra.../
Harufu ya marashi inaongeza stimu, nifanye ka gwajima tujirekodi kwa simu.../
Mpishi wa mapenzi acha nikupe maujiko, dadeki zege la leo halilali hata aje fundi maiko.../
[emoji15] aaahh