Usiku wa kwanza wa ndoa

Kuna mdada aliolewa tuu aone usiku wa ndoa unafananaje....

Baada ya kuushuhudia akarudi kwao akisema sitaki ndoa tena.....

Aliona Nini....!!!???
Gwaride lilimshinda
 
Usijali, ukiwa unaogelea huko deep sea, mie ntakuwa nakupungia mkono nikiwa nchi kavu (beach) na kukushangilia (cheering) like....
Zaaamiiii Zaaamiiii Zaaamiiii Zaaamiiii Zaaamiiii wuuuhuuuuuu.
Hahaha... ntakufuata hapo pwani ...
 
Mazigazi nitaoa soon nimepata Toto la kibondei .

Anaitoa knock out
 
Usiku wa kwanza baada ya ndoa mwanamke alikuwa kwenye siku zake takribani siku saba sikula kitu[emoji39][emoji39]
Naskia kisheria za nchi hii, siku akidai talaka mahakamani, ukakiri haukupiga mti inakuwa rahisi kupoteza mke....ungeingiza tu hata kichwa hahahah
 
Watu muna vipaji bhana eee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…