idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
watu maskini mna hasira sana. Jitu zee zima lakini hohe haheeee. Mwanaume suruali huyoooooooo
ha!ha!ha!
mzee kwani mimi ndio nilie kuzaa.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watu maskini mna hasira sana. Jitu zee zima lakini hohe haheeee. Mwanaume suruali huyoooooooo
Naombea bonge la mvua linyeshe.
Naona Times wanarusha hicho kitamasha laivu. Nachosikia mayowe na makelele tu. Hamna lolote la maana. Sijui watu wamepewa viroba wamekunywa hadi wamekuwa tilalila?
ha!ha!ha!
mzee kwani mimi ndio nilie kuzaa.?
Hili Joto hasira!!!!!!Nimeona picha za hiyo red carpet hapo Nyumbani Lounge....that damn thing is ratchet as fcuk! Hivi walishindwa kupata kikapeti chenye hadhi?
Halafu sampuri ya watu walioenda kenye hicho kishoo daaah! Yaani ni vibonge vibonge tu na wengine hata kwapa hawajashevu. Gademu. Badala ya kuwapa kile ki-cd chake ni bora angewapa nyembe za gilette au bic.
Hili Joto hasira!!!!!!
WTF? Hiyo alivoaa ndo nini sasa? Spacesuit diaper?
Jide is tacky ....and you sound desperate
I sound desperate for what?
Despairing that Ruge's ship is under
Trash talking Jide .....very desperate (*in a whisper)
If you say soAin't! Ain't because:
(1) The ship ain't sinking
Right on it. You all do. No difference at all(2) If trash talking is sounding desperate then Jide stans are desperate 2.0!
(3) Been trash talking since I was in the womb.
(6) But, you are entitled to opine anyhow you wish.
Huna gari wewe. Kama unalo kwanini usisafiri nalo kutoka Mbeya? Kitu kingine: Kwanini ufikie Manzese kama kweli una hela? Si ungelala hata Sinza. Hilooooooooo Masikiniiiiiiiiiiiiiiiiiiii...............
What an accomplishment. Good for you!
shukrani mkuu, hata hivyo mimi nipo maeneo ya Manzese darajani. kwa hiyo kama ni daladala niingie za Mwenge theni Bamaga,kisha zinazoelekea Morocco au.?
Correction: I can't 'accomplish' me. I can be me and I am being me. :hand:
Being able to trash talk while in your mama's womb is an accomplishment!
You have accomplish the impossible, some would say
I just wonder who were you trash talking in there coz your world at that time seems to be of just you and ....
Enlighten me...
I repeat, since it was fixed at birth it can't be an accomplishment.
As to who was I bad-mouthing...welp, my imaginary friends and acquaintances.