Usiku wa Vitasa: Bondia Mfaume aibuka na ubingwa wa WBF baada ya kumtandika Abdumonem kwa TKO

Ni kweli kabisa yule Katembo alistahiki ushindi, Hamisi Maya kapigwa sana, lakini cha kushangaza yeye ndo kashinda.

Ameshindaje huyu..!
Leo nimecheka mnooo, yaan special cards wa pambano wametoa bokoo had Co poaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu mchezo umeanza tena kuharibiwa kama mwanzo. Yaani kweli wadhamini wanaweka pesa zao na watu wanalipa kiingilio kwenda kuangalia bondia feki kabisa yule mmisri. Jamaa hata kurusha ngumi hawezi kabisa. Halafu kesho utamsikia Mfaume anasema namtaka Mwakinyo ulingoni.

Kwa hivi karibuni mchezo wa ngumi ulianza kushika kasi sana na kuwa na wapenzi wengi na hata wadhamini wengi pamoja na kutoa ajira kwa vijana wengi lakini kwa haya yanayofanyika sasa huu mchezo utarudi kaburini tena. Ni wakati sasa wa serikali kuingilia kati kama ilivyozuia mabondia kujiondokea tu kwenda nje kupigwa halafu wanapewa pesa wanawapandisha watu viwango huko nje basi sasa hivi iingilie kati iwe na udhibiti wa mabondia kutoka nje wanaokuja kucheza hapa nchini. Vinginevyo itakuwa tu mtu anaokota kinyozi au mlevi huko nje ya nchi anampa dili anamleta hapa nchini anamkungúta "knock out" ya uwongo uwongo biashara imeisha wakati watu wamelipa viingilio.
 
Comment ya ukweli sana...umemaliza.
Mwenye macho haambiwi tazama.
 
Yule mwarabu hamna kitu kabisa lile pambano boralisingechezwa.
Na yule mzimbabwe aliyecheza na ibrahim class duuh! Sijui alikuwa keshauza vidole kuhusiana na hamiss maya mi naona ushindi ni sahihi kwake. Katembo alikuwa anatupa ngumi lakini nyingi hazifiki. Wakongoman kupigana hawajui

Sent from my SM-G570M using JamiiForums mobile app
 
Mwakinyo mwenyewe ndo mabondia anaochezaga nao hao...Type za mmisri.
 
Wabongi hawana jema. Angeshindwa, wangelalamika ns kumponda kweli bondia mzawa! Ameshinda, bado wanalalamika!

Ifikie wakati tuanzishe tu mashindano ya kulalamika na kupigana majungu.
 
Wabongi hawana jema. Angeshindwa, wangelalamika ns kumponda kweli bondia mzawa! Ameshinda, bado wanalalamika!

Ifikie wakati tuanzishe tu mashindano ya kulalamika na kupigana majungu.
Hapa si suala la kulalamika.. Kama tunataka kushindana lazima watafutwe washindani wa kweli

Hivi umeangalia game au unatupa shutuma tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…