Usiku wa vitasa nini kimejiri?

Nadhani kutakuwa na tatizo kwenye Grid ya Taifa. Hata huku ni giza.
 
Wanaopigana ni wengi mkuu... Ni mipambano tofaut tofaut
 
Maugo yupo hoi..maneno yake na vitendo vyake uwanjan haviendan kabisa
 
Waamuzi wa kibongo hawana maana, wanawabeba watu kwa majina, maugo kapigwa ila eti ndio mshindi, ngumi za bongo zitaishia hapahapa manzese
 
Habibu Pengo kachapwa na Mfaume Mfaume.
 
Waamuzi wa kibongo hawana maana, wanawabeba watu kwa majina, maugo kapigwa ila eti ndio mshindi, ngumi za bongo zitaishia hapahapa manzese
Lile pambano liko wazi, Mada Maugo kachezea vitasa ila mbeleko imembeba.
 
Mpambano mzur ulikuwa wa Mfaume vs Habib pengo....
 
Asee tafadhalini ... kuna mtu anafahamiana na Promoter yoyote wa mchezo wa ngumi..!? Naombeni nisaidieni namba ya promoter yoyote wa ngumi tafadhalini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…