Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya nani na nani?Naomba kujuzwa kinachoendelea USIKU WA VITASA nani kampasua nani?....Umeme umekatika huku
Lile pambano liko wazi, Mada Maugo kachezea vitasa ila mbeleko imembeba.Waamuzi wa kibongo hawana maana, wanawabeba watu kwa majina, maugo kapigwa ila eti ndio mshindi, ngumi za bongo zitaishia hapahapa manzese
Nilicheki mtifuano,maugo kapewa tuWaamuzi wa kibongo hawana maana, wanawabeba watu kwa majina, maugo kapigwa ila eti ndio mshindi, ngumi za bongo zitaishia hapahapa manzese
Unataka pambanoAsee tafadhalini ... kuna mtu anafahamiana na Promoter yoyote wa mchezo wa ngumi..!? Naombeni nisaidieni namba ya promoter yoyote wa ngumi tafadhalini...