Usikubali Mtu akaandika Historia yako. Andika mwenyewe Kwa ajili ya watoto/kizazi chako

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
USIKKUBALI MTU MWINGINE AKAANDIKA HISTORIA YAKO, ANDIKA MWENYEWE KWA AJILI YA WATOTO/KIZAZI CHAKO.

Anaandika Robert Heriel
Baba

Wakati Sisi wengine tukishindwa kutaja vizazi hata Vinne Kurudi nyuma, mfano, Baba,
Babu,
Baba yake Babu.
Babu yake Babu.

Wenzetu Wayahudi watoto wao wanauwezo wa kutaja kizazi Chao kutokea sasa mpaka kutokea Kwa Adamu.

Tangu kuzaliwa Kwa Yesu mpaka sasa ni miaka 2000 Sawa na vizazi 20 tuu vilivyopita. Kwa wastani wa kila kizazi kiishi Kwa Karne moja.

Sio rahisi kupambana na jamii inayojua wapi imetoka, wapi ilipo na Kwa uhakika inajua wapi inaelekea.

Waafrika Sisi ni rahisi kushindwa katika mapambano yoyote Yale Kwa sababu hatujui tulitokea wapi, tupo wapi na ni uhakika hatujui tunapoelekea.

Kila kizazi kinachokuja kinakuja na mambo yake badala ya kuboresha Yale ya kale ya mababu zetu.

Ninashauri kila familia iwe na utaratibu wa kuandika mambo yake katika kitabu maalumu cha kihistoria cha Familia ili kulinda kumbukumbu muhimu za koo zetu ambazo zitawasaidia watoto wetu kizazi kijacho miaka mingi ijayo.

Vitabu hivi vitakuwa reference Kwa vizazi vyetu katika kutatua changamoto zao au kujifunza mambo Yao.

Nataka kusema, kuna matokeo chanya Kwa mtoto anaposoma historia ya Asili ya mababa na mababu zake walioishi miaka zaidi ya Mia iliyopita kuliko kusoma historia za mababu wasiowake.

Jambo moja pia lakuweka akilini ni kuwa, kikawaida maji yanafuata Mkondo, hivyo matatizo yanayokukumba wewe hivi leo ndio matatizo hayohayo yatakayokumbuka kizazi chako miaka mingi ijayo.

Kama vile unavyojiona hivyo ulivyo basi tambua kuwa kuna mtu kutoka katika kizazi chako atafanana na wewe hivyohivyo ulivyo au atatenda kama utendavyo. Hivyo kuweka kumbukumbu ni muhimu sana katika jamii ya watu wenye akili.

Wayahudi kupitia kitabu Chao cha Torati, Zaburi, Asheri, kitabu cha Chuo cha vita miongoni mwa vitabu vilivyoandikwa na Mababu zao wamekuwa wakipata mafanikio makubwa.

Mambo muhimu ya kuandika katika kitabu cha familia au Ukoo
1. Asili yenu Kwa uchache
2. Jinsi mliooa pamoja na Asili ya Mkeo(Mama)
3. Matukio yote ya utafutaji
4. Makosa makubwa uliyoyafanya.
5. Idadi ya watoto uliozaa hasa Wakiume.
6. Maono yako yalikuwa ni nini, ulitaka ufike wapi, je ulifanikiwa kufika au haukufanikiwa, kama hukufanikiwa eleza sababu.
7. Majanga yaliyotokea wakati unaishi tangu ukiwa mdogo. Mfano njaa, matetemeko, ukame, vita, magonjwa, eleza jinsi yalivyokuathiri na namna mlivyokabiliana nayo mpaka mkavuka salama.
8. Elezea migogoro iliyozuka baina yako na Mkeo na namna mlivyosuluhisha.
9. Eleza makosa ambayo kwenye ndoa hayasameheki na toa Sababu.
10. Eleza Kama unawatoto wa nje au wake wengine.
11. Eleza watu waliyoyaharibu maisha yako katika wakati fulani na namna mlivyokutana nao. Ili kizazi kingine kikija kijifunze.
12. Eleza watu waliokutendea wema mkubwa ambao hautokuja kuusahau.
Historia utakayoiandika ieleze kuwa mtu huyo na familia yake kamwe watoto wako au kizazi chako kisiwatendee mabaya watu hao.
13. Elezea dawa na mitishamba na magonjwa inayotibu ikiwezekana utaje majina ya miti, mchanganyiko, na picha au mchoro wa mti huo.

14. Elezea tabia ya nchi na matokeo yake Kwa nyakati zako.
15. Elezea Tawala na mamlaka zilizoyafanya maisha yako kuwa magumu. Elezea Kwa ufupi majina na Asili ya Mtawala huyo. Elezea na namna uliyotumia kukabiliana na utawala huo. Au pendekeza mbinu zingine ambazo haukuzitimia. Hii itasaidia miaka ijayo Kwa kizazi chako endapo atatokea Mtawala kama huyo. Itakuwa rahisi ku-trace asili ya Mtawala huyo.

16. Elezea Maeneo ambayo ulitamani kuishi au ambayo unatamani kizazi chako kiishi hata kama haukuishi. Eleza na sababu za Msingi.

17. Eleza miiko ambayo kizazi chako. Elezea miiko ya vyakula, mavazi, wanawake au wanaume wa kuoa. Kisha toa Sababu Kwa kila mwiko. Itapendeza uandike ukiwa katika akili za Hali ya juu ili kizazi kinachokuja kione Logic ya ulichoandika.

18. Elezea mambo dhahania ya wakati wako mfano mambo ya Uchawi, miujiza iliyowahi tokea katika maisha yako au ulioisikia au kuiona Kwa wengine. Elezea kile unachokiona na msimamo wako.

19. Elezea namna ya mtu kujilinda, kivita, kiuhalifu, wewe ukiwa Kama Baba lazima utoe Muongozo kupitia kitabu cha Familia.

20. Elezea wapi utataka kuzikwa wewe na Mkeo na watoto wako wote waliochini ya umri wa kujitegemea.
Zingatia, unapoandika, hakikisha unaonyesha jinsi ulivyo mahiri, jinsi ulivyo barikiwa na jinsi asili yako ilivyobora. Usijikite kwenye mapungufu yako, mapungufu yako uelezee labda kwa Asilimia 10% huku 90% ukielezea mambo Bora.

Usikubali Mtu au watu wakakuandikia historia yako na ukoo wako. Andika historia yako mwenyewe kwa manufaa ya kizazi chako.

Ukikubali mtu mwingine akuandikie historia yako umekwisha, ndio Yale mtoto anakua anasikia maneno Kama Baba au Babu yenu alikuwa mtu mjinga Sana, alikuwa masikini asiye na akili, aliyeonewa na kila Mtu. Hiyo huharibu akili za watoto moja Kwa moja.

Zingatia watoto wengi huathiriwa na maneno Hasi huku mtoto mmoja mmoja ndio wasio athiriwa na maneno ya watu.

Nipumzike Sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa, Dar es salaam
 
Zawadi toka kwa mungu. Duuuuh noma sana. Hongera ndugu kwa kipaji hiki.
 
Umeandika kitu kikubwa sana, ni watu wenye akili tu ndio watakuelewa.

Ni jambo muhimu sana kutekeleza huu ushauri ingawa siyo kwa 100% lakini ni muhimu sana, imagine upo hai kuna raia wanajifanya wanakujuwa kuliko unavyojijuwa mwenyewe, Sasa pata Picha ukilala mauti itakuwaje?
 
Tena unazushiwa mambo ya hovyo ukiwa hapo vipi siku umekufa?
Hasa Kwa Sisi wanaume ndio tunazushiwa kila eneo sio maadui sio wake zetu wote wanazusha yakuzusha
 
Taikon nakuahidi hii memo ntaanza kuandika ndani ya mwaka 2023 kwa kurikod kumbukumbu zote nnazopitia
USIKKUBALI MTU MWINGINE AKAANDIKA HISTORIA YAKO, ANDIKA MWENYEWE KWA AJILI YA WATOTO/KIZAZI CHAKO.

Anaandika Robert Heriel
Baba

Wakati Sisi wengine tukishindwa kutaja vizazi hata Vinne Kurudi nyuma, mfano, Baba,
Babu,
Baba yake Babu.
Babu yake Babu.

Wenzetu Wayahudi watoto wao wanauwezo wa kutaja kizazi Chao kutokea sasa mpaka kutokea Kwa Adamu.

Tangu kuzaliwa Kwa Yesu mpaka sasa ni miaka 2000 Sawa na vizazi 20 tuu vilivyopita. Kwa wastani wa kila kizazi kiishi Kwa Karne moja.

Sio rahisi kupambana na jamii inayojua wapi imetoka, wapi ilipo na Kwa uhakika inajua wapi inaelekea.

Waafrika Sisi ni rahisi kushindwa katika mapambano yoyote Yale Kwa sababu hatujui tulitokea wapi, tupo wapi na ni uhakika hatujui tunapoelekea.

Kila kizazi kinachokuja kinakuja na mambo yake badala ya kuboresha Yale ya kale ya mababu zetu.

Ninashauri kila familia iwe na utaratibu wa kuandika mambo yake katika kitabu maalumu cha kihistoria cha Familia ili kulinda kumbukumbu muhimu za koo zetu ambazo zitawasaidia watoto wetu kizazi kijacho miaka mingi ijayo.

Vitabu hivi vitakuwa reference Kwa vizazi vyetu katika kutatua changamoto zao au kujifunza mambo Yao.

Nataka kusema, kuna matokeo chanya Kwa mtoto anaposoma historia ya Asili ya mababa na mababu zake walioishi miaka zaidi ya Mia iliyopita kuliko kusoma historia za mababu wasiowake.

Jambo moja pia lakuweka akilini ni kuwa, kikawaida maji yanafuata Mkondo, hivyo matatizo yanayokukumba wewe hivi leo ndio matatizo hayohayo yatakayokumbuka kizazi chako miaka mingi ijayo.

Kama vile unavyojiona hivyo ulivyo basi tambua kuwa kuna mtu kutoka katika kizazi chako atafanana na wewe hivyohivyo ulivyo au atatenda kama utendavyo. Hivyo kuweka kumbukumbu ni muhimu sana katika jamii ya watu wenye akili.

Wayahudi kupitia kitabu Chao cha Torati, Zaburi, Asheri, kitabu cha Chuo cha vita miongoni mwa vitabu vilivyoandikwa na Mababu zao wamekuwa wakipata mafanikio makubwa.

Mambo muhimu ya kuandika katika kitabu cha familia au Ukoo
1. Asili yenu Kwa uchache
2. Jinsi mliooa pamoja na Asili ya Mkeo(Mama)
3. Matukio yote ya utafutaji
4. Makosa makubwa uliyoyafanya.
5. Idadi ya watoto uliozaa hasa Wakiume.
6. Maono yako yalikuwa ni nini, ulitaka ufike wapi, je ulifanikiwa kufika au haukufanikiwa, kama hukufanikiwa eleza sababu.
7. Majanga yaliyotokea wakati unaishi tangu ukiwa mdogo. Mfano njaa, matetemeko, ukame, vita, magonjwa, eleza jinsi yalivyokuathiri na namna mlivyokabiliana nayo mpaka mkavuka salama.
8. Elezea migogoro iliyozuka baina yako na Mkeo na namna mlivyosuluhisha.
9. Eleza makosa ambayo kwenye ndoa hayasameheki na toa Sababu.
10. Eleza Kama unawatoto wa nje au wake wengine.
11. Eleza watu waliyoyaharibu maisha yako katika wakati fulani na namna mlivyokutana nao. Ili kizazi kingine kikija kijifunze.
12. Eleza watu waliokutendea wema mkubwa ambao hautokuja kuusahau.
Historia utakayoiandika ieleze kuwa mtu huyo na familia yake kamwe watoto wako au kizazi chako kisiwatendee mabaya watu hao.
13. Elezea dawa na mitishamba na magonjwa inayotibu ikiwezekana utaje majina ya miti, mchanganyiko, na picha au mchoro wa mti huo.

14. Elezea tabia ya nchi na matokeo yake Kwa nyakati zako.
15. Elezea Tawala na mamlaka zilizoyafanya maisha yako kuwa magumu. Elezea Kwa ufupi majina na Asili ya Mtawala huyo. Elezea na namna uliyotumia kukabiliana na utawala huo. Au pendekeza mbinu zingine ambazo haukuzitimia. Hii itasaidia miaka ijayo Kwa kizazi chako endapo atatokea Mtawala kama huyo. Itakuwa rahisi ku-trace asili ya Mtawala huyo.

16. Elezea Maeneo ambayo ulitamani kuishi au ambayo unatamani kizazi chako kiishi hata kama haukuishi. Eleza na sababu za Msingi.

17. Eleza miiko ambayo kizazi chako. Elezea miiko ya vyakula, mavazi, wanawake au wanaume wa kuoa. Kisha toa Sababu Kwa kila mwiko. Itapendeza uandike ukiwa katika akili za Hali ya juu ili kizazi kinachokuja kione Logic ya ulichoandika.

18. Elezea mambo dhahania ya wakati wako mfano mambo ya Uchawi, miujiza iliyowahi tokea katika maisha yako au ulioisikia au kuiona Kwa wengine. Elezea kile unachokiona na msimamo wako.

19. Elezea namna ya mtu kujilinda, kivita, kiuhalifu, wewe ukiwa Kama Baba lazima utoe Muongozo kupitia kitabu cha Familia.

20. Elezea wapi utataka kuzikwa wewe na Mkeo na watoto wako wote waliochini ya umri wa kujitegemea.
Zingatia, unapoandika, hakikisha unaonyesha jinsi ulivyo mahiri, jinsi ulivyo barikiwa na jinsi asili yako ilivyobora. Usijikite kwenye mapungufu yako, mapungufu yako uelezee labda kwa Asilimia 10% huku 90% ukielezea mambo Bora.

Usikubali Mtu au watu wakakuandikia historia yako na ukoo wako. Andika historia yako mwenyewe kwa manufaa ya kizazi chako.

Ukikubali mtu mwingine akuandikie historia yako umekwisha, ndio Yale mtoto anakua anasikia maneno Kama Baba au Babu yenu alikuwa mtu mjinga Sana, alikuwa masikini asiye na akili, aliyeonewa na kila Mtu. Hiyo huharibu akili za watoto moja Kwa moja.

Zingatia watoto wengi huathiriwa na maneno Hasi huku mtoto mmoja mmoja ndio wasio athiriwa na maneno ya watu.

Nipumzike Sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa, Dar es salaam
 
Baba yangu alifanya kitu Cha maana Sana kuandiaoi historia yake Mara baada ya kustaafu....
Imetusaidia Sana Sana kujua chimbuko letu,magumu aliyopitia,mke aliyeoa(Mama yetu) asili yake na tabia,changamoto alizokumbana nazo no..ametusaidia Sana Sana kujua tulikotoka nk.
Nami nimeanza.....Mungu anitie nguvu nikamilishe
 
Amina Mkuu🙏🏾🙏🏾
Babaako alikuwa mwerevu sana
 
Wenzetu (Wazungu) wanazingatia sana hayo. Ndiyo maana tukawa na wanafalsafa wa kale kama Plato, Socrates na Aristotle. Waafrika walikuwepo wanafalsafa lakini hawakuwa na maandishi. Tungezingatia historian ya mababu zetu tungefunguka kuhusu hizi dini za kigeni, hatungezipokea bila kuhoji. Mimi niliambiwa jina tu la baba wa baba yangu, zaidi ya hapo sijui.
 
Back
Top Bottom