ni makosa makubwa kwa mtu yeyote kukujua au kujua id yako hapa jf
kuna dada mmoja amenijua na tukapeana user name zetu huko facebook
yaani ananifatilia sana halafu inaonekana ni mfuasi wa magamba na mimi nayachukia magamba
nahisi atawaonyesha magamba nyumbani kwangu,sasa hivi nimekosa amani
nimekutana naye jana akaniangalia kwa jicho la husuda
nimekosa amani kabisa hapa jf,naomba msifanye makosa kama hayo wakuu!

Wasiwasi wa bure mkuu, mbona sie wengine tunafahamiana na wanamagamba kibao lakini hatuna mashaka hata kidogo.
Kama unaandika habari za kuzua hapa, bila shaka utakuwa na wasiwasi lakini kama unaandika mambo ya ukweli kwanini uwe na wasiwasi?
Hata huko fesi buku mbona tunawarushia makombora kama kawaida mkuu na hatuogopi. Labda kama huyo mwanamke yeye binafsi ana agenda ya siri dhidi yako hapo nitakuelewa.
Hatahivyo, pole kwa kitisho, siku nyingine usiwe mwepesi wa kujitambulisha. Au kwa kuwa ni mwanamke ulikuwa na matarajio!!??

inategemea unapost vinini hapa JF
UNAWEZA VUNJA NDOA AU FUKUZWA KAZI HIVIHIVI
utajisahau na kupost ukweli siku mmoja kwamba magamba hawafaihata ukiwa unasifia magamba?
Lol..imebidi nicheke tuWee unataka kutupiga pini wengine tusibahatishe kama wewe, tumeshagundua janja yako