Usikubali mtu yeyote akujue hapa JF

Usikubali mtu yeyote akujue hapa JF

sasa wewe unasumbuliwa na mtu unaemjua
muanike ili tumjue na wengine tusijeingia mkenge.
 
pole sana ila mm ninaowajua nawaamini mnoo ndio mana nikajiweka wazi kwao.............hawanitishi ng'o
 
ni makosa makubwa kwa mtu yeyote kukujua au kujua id yako hapa jf
kuna dada mmoja amenijua na tukapeana user name zetu huko facebook
yaani ananifatilia sana halafu inaonekana ni mfuasi wa magamba na mimi nayachukia magamba
nahisi atawaonyesha magamba nyumbani kwangu,sasa hivi nimekosa amani
nimekutana naye jana akaniangalia kwa jicho la husuda
nimekosa amani kabisa hapa jf,naomba msifanye makosa kama hayo wakuu!


Duh nimecheka sana ....
 
Wasiwasi wa bure mkuu, mbona sie wengine tunafahamiana na wanamagamba kibao lakini hatuna mashaka hata kidogo.

Kama unaandika habari za kuzua hapa, bila shaka utakuwa na wasiwasi lakini kama unaandika mambo ya ukweli kwanini uwe na wasiwasi?

Hata huko fesi buku mbona tunawarushia makombora kama kawaida mkuu na hatuogopi. Labda kama huyo mwanamke yeye binafsi ana agenda ya siri dhidi yako hapo nitakuelewa.

Hatahivyo, pole kwa kitisho, siku nyingine usiwe mwepesi wa kujitambulisha. Au kwa kuwa ni mwanamke ulikuwa na matarajio!!??

Powa m2 wangu!
 
mbona watu wengi wameweka majina yao kamili awaogopi kama wewe yupo dr.kitila mkumbo,Nape dr.slaa,zitto. mbona tunawajua kwa majina yao na hawaogopi kabisa au kuna tatizo lingine umefanya? maana vijana wa sasa hamkawii kumwaga sera
 
maisha yangu nmewakabidhi jf.nusu ya marafiki zangu wa jf nawafahamu na wao wananifahamu na tupo poa tu.na nina mpango wa kuongeza wa5 wakiwemo magamba mawili..nimejitoa kama yesu msalabani.lakini kujuana ni vizuri.mia
 
yuko hapa jamvini sasa hivi navyoongea,sipendi niweke id yake hapa
napenda nitoe tahadhari kwa wana jf wenzangu
siasa ya nchi yetu imekaa vibaya

hivi unadhani nji hii wakitaka kukusaka
wanakukosa ?????
Usijidanganye mwana
hapo ulipo wakitaka kukudaka utakuwa chini ya ulinzi pambana mkuu
 
Sio kwamba huko ni kwa wauza sura? ok, nimeipata vizuri point yako ndio maana nilishawahi kuuliza hapa jamvini juu ya usalama wetu maana hawa jamaa wamedhamiria kutumal.....
 
ulikuwa hujiu hapa ni mwendo wa uinvisible tu


Kaka as long as you have an e mail address, phone number au member wa facebook, twitter etc umeshapoteza privacy. Any IT expert with access to phone company or e mail database can identify and trace you. Njia pekee ya kuwa anonymous dunia ya sasa usiwe na phone,usiwe na e mail, usiwe na kitambulisho wala passport etc. Then you are officially dead.
 
Back
Top Bottom