Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
nimekutana naye jana akaniangalia kwa jicho la husuda
nimekosa amani kabisa hapa jf,naomba msifanye makosa kama hayo wakuu!
pole sana lakini kama ukiendelea kusumbuliwa toa report kwenye vyombo husika
Anakufuatilia kivipi..???ni makosa makubwa kwa mtu yeyote kukujua au kujua id yako hapa jf
kuna dada mmoja amenijua na tukapeana user name zetu huko facebook
yaani ananifatilia sana halafu inaonekana ni mfuasi wa magamba na mimi nayachukia magamba
nahisi atawaonyesha magamba nyumbani kwangu,sasa hivi nimekosa amani
nimekutana naye jana akaniangalia kwa jicho la husuda
nimekosa amani kabisa hapa jf,naomba msifanye makosa kama hayo wakuu!
ni makosa makubwa kwa mtu yeyote kukujua au kujua id yako hapa jf
kuna dada mmoja amenijua na tukapeana user name zetu huko facebook
yaani ananifatilia sana halafu inaonekana ni mfuasi wa magamba na mimi nayachukia magamba
nahisi atawaonyesha magamba nyumbani kwangu,sasa hivi nimekosa amani
nimekutana naye jana akaniangalia kwa jicho la husuda
nimekosa amani kabisa hapa jf,naomba msifanye makosa kama hayo wakuu!
kama wewe ni 'mwanaharakati' humu ndani kuwa na tahadhari
lakini kama wewe unakuja na kuingia jukwaa la mmu,chit chat na jokes na sports...
ondoa wasi wasi
'''Duh afadhali umenistua nilikuwa na mpango wa kukutana na kidosho wa JF siku ya J2 itabidi nimpoteze ahaaa aaaa,kwanza unaweza kukuta ni lidume mwenzangu hafuu ikawa tabu bin tafrani JF kweli kiboko.
Mzalishe kwanza halafu urudi kwenye harakati....utaona anakuwa mpole.
Wasiwasi wa bure mkuu, mbona sie wengine tunafahamiana na wanamagamba kibao lakini hatuna mashaka hata kidogo.
Kama unaandika habari za kuzua hapa, bila shaka utakuwa na wasiwasi lakini kama unaandika mambo ya ukweli kwanini uwe na wasiwasi?
Hata huko fesi buku mbona tunawarushia makombora kama kawaida mkuu na hatuogopi. Labda kama huyo mwanamke yeye binafsi ana agenda ya siri dhidi yako hapo nitakuelewa.
Hatahivyo, pole kwa kitisho, siku nyingine usiwe mwepesi wa kujitambulisha. Au kwa kuwa ni mwanamke ulikuwa na matarajio!!??
mhhh hilo nalo nenombona watu wengi wameweka majina yao kamili awaogopi kama wewe yupo dr.kitila mkumbo,Nape dr.slaa,zitto. mbona tunawajua kwa majina yao na hawaogopi kabisa au kuna tatizo lingine umefanya? maana vijana wa sasa hamkawii kumwaga sera
Mmh! Pole eeh. Ukiona wamekujua sana njo na ID mpya. Watu tushajuana vya kutosha.
labda kwenye jukwaa la MM......................pole sana ila mm ninaowajua nawaamini mnoo ndio mana nikajiweka wazi kwao.............hawanitishi ng'o
Kwenye nyekundu alisha likataa....mbona watu wengi wameweka majina yao kamili awaogopi kama wewe yupo dr.kitila mkumbo,Nape dr.slaa,zitto. mbona tunawajua kwa majina yao na hawaogopi kabisa au kuna tatizo lingine umefanya? maana vijana wa sasa hamkawii kumwaga sera