Usikurupuke kula ovyo kwenye vi fast food vya sinza utalia kama sio kuacha simu yako

Usikurupuke kula ovyo kwenye vi fast food vya sinza utalia kama sio kuacha simu yako

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Shalom Wana Mungu alie hai

Ningependa nikujuze tu hili kwa NDUGU Yangu MMOJA yaliyomtokea Jana

Alishuka maeneo flan akasema ale chakula Moja ya fastfood za sinza

Alipomaliza akaletewa bill ndogo chakula kila kitu kama 24000

Kijana akapiga m Niko busy ma mambo yanguuu

MWISHO akatuma msg dah KUSOMA nkasikitika why sikuwahi kupokea

NKAMWAMBIA Niko karibu nakuja...tumekula nn na nini

AKajibu kwenye msg

KUFIKA NKAENDA kumuliza mdada MMOJA nataka chakula hiki na kinywaji hiki na maji Moja

Akasema JUMLA 20000


Mmh nkaumuuliza Tena akasema 20000 na resit unapewa

Nkamusms dogo njee upande WA pili akaja akamwita mdada alienhudumia akamwambia 24000!!!

Nkashuka nkamwita mdada niliongea nae akiwa na yule alienhudumia dogo

Eeh chakula hiki na hiki sh ngapi JUMLA na kinywaji 20000

NDUGU nkalipa 20000 NKAMWAMBIA yule mdada aliemsave dogo hio 4000 utaongezea

Nilichokinot

Wananchi mnapigwa sana kwenye hili..kwanza usile bila kujua bei za msosi utaliaaaa
2.kuwa na mazoea ya kuuliza MADADA mbalimbali bei za ulivyokula

Imagine Hawa wote n OFISI Moja na wote walikuwa na uhakika WA KUNIPA efd resit

Ukipewa bei
+
Na ya kwakooo.......

HATA HIVYO pamoja na hio 20 k
Dogo alikuwa anajua yoyote hayo JUMLA aizidi 12000. Wee akipenda duniaaaaaaaaa

Muwe mnaulizaaa hasa sinza HATA hizi BIA kuna bar Moja niliingia NKAKUTA ndogo safari tu wanauza

Nkanywa mbili roho ikantuma ulizaa bei utaaibika amka NAKWAMBIA

Nkaamka Dastan nkamwita mhudumu zile beer 2 n 6000 tayari

NKAMPA kumi nkaondoka HAPO nilijua 2500 max

WAKATI nalalamika hayo

Majuzi Niko SEHEMU naona jamaa ANASEMA unalalama 3000

Njoo SEHEMU Fulani 5000. Aisee miwili ulipata motoo

NIMEONA niamue kumpokea Bwana kama Mwokoxi WA maisha Yanguu
 
Ila dar mambo yamepandishwa hasa,au ndo mnataka muwe jiji lenye gharama za maisha kuliko yote afrika

Watu wanapiga hela
 
Biashara huria Kila mtu anauza bei anayotaka


Nikiwa tz hua sipendi kabisa kutumia pesa zangu Kwa mtindo wa kuzifuja,Bora ukiwa ugenini unakua huna option nyingi, sio hapa ambapo Chocho zote nazijua, hapana kwakweli, nakumbuka club element ilipofunguliwa local beer wanauza elf 10 Moja, nikaona huu Sasa ujinga, Kuna watu nilikua nashindwa kuwakwepa kwenda hapo so nikawa nabeba pombe zangu naacha kwenye gari, elements ni mwendo wa maji tu, stimu zikipungua unashuka zako unapiga makali kwenye gari unarudi ndani..... Kutumia pesa Kwa sifa sio ujanja kabisa ndo maana huwezi kukuta matajiri wanaojielewa wanaweka heshima bar, Sana Sana sisi maskini ndo hua tuwashobokea na kuwanunulia wao expensive drinks, kijana Linda Sana pesa Yako!!
 
Back
Top Bottom