No sijawahi kutumia jamiiforums ni mara yangu ya kwanza ila Jina hilo lako nalifahamu nje ya jamii forum.ni mm yule mbona umebadili Avarta na kujiunga juzi Novemba wakati uchangiaji wako ni wa uzoefu?
[emoji3][emoji3]
Inawezekana pia
yap maana nimejiuliza iweje resources aipatie ila human izingueMama anatumia tecno, akakosea kuandika neno human, alipobonyeza space bar ikafanya auto correct, ikaandika women, mama bila kujua akapost
Facebook mkuuSamahani. Hivi woman resorce ndio iko wapi?? @nahuja