Masaningala
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 543
- 199
mbona hamsemi tuitembee nazo ktk mifuko yetu ya sarawili na shati, au hio mionz inatoka usiku tu???
Mimi ninadhani, usiku ni muda wa kufanya repair ya mwili pamoja na ubongo. Kwa hivyo viungo vyote vinatakiwa visiingiliwe na foreign components ambazo vitaathiri mchakato wa repair ya mifumo ya mwili baada ya kufanya kazi mchana kutwa. Ukitaka kujua athari ya mionzi fungua: esmog.com - esmog Resources and Information. This website is for sale!.