Masaningala
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 543
- 199
mbona hamsemi tuitembee nazo ktk mifuko yetu ya sarawili na shati, au hio mionz inatoka usiku tu???
Labda tatizo ni kuweka karibu na kichwa, kwa maana ya kwamba ikiwa karibu na kifua au tumbo siyo shida. Dada zetu wanaweka simu kwenye sidiria. Na sisi akina baba kila siku tunazunguka na simu mifukoni mwetu, hizo radiations huwa hazitoki wakati huo? Kama tunasema kuweka simu chini ya mto tukiwa tumelala ina madhara, basi tuseme pia kwamba kuweka simu mfukoni ni makosa pia. Na wale akina mama wanaweka kwenye matiti pia waache. Sasa sijui tutazibebea wapi.Still wondering if the problem is to "sleep with the phone" or just staying closer to the phone(most of the time)...bse if it is earlier(that's sleeping with the phone) is when radiation occurs, how does it(cell) know umelala for you to be at risk?
hautakuwa 'teja' wa blackberry lol au kuna kitu nime-miss
hiyo link ya CNN inaongelea jinsi mtu anakuwa attached na simu kiasi cha kupunguza mapenzi kwa familia/rafiki zake.Sijaelewa mkuu.
Labda tatizo ni kuweka karibu na kichwa, kwa maana ya kwamba ikiwa karibu na kifua au tumbo siyo shida. Dada zetu wanaweka simu kwenye sidiria. Na sisi akina baba kila siku tunazunguka na simu mifukoni mwetu, hizo radiations huwa hazitoki wakati huo? Kama tunasema kuweka simu chini ya mto tukiwa tumelala ina madhara, basi tuseme pia kwamba kuweka simu mfukoni ni makosa pia. Na wale akina mama wanaweka kwenye matiti pia waache. Sasa sijui tutazibebea wapi.
Duh huu ushauri utaturudihsa kwenye spousal brawls again.........imagine simu ulale nayo mbali si balaa?
na inakuwaje wakati muda wote unakuwa na simu iko mfuko wa shati au suruali, au mionzi hii hatari ni usiku tu?