Usilazimishe awe ndiyo yule unayemtafuta, utateseka sana

Usilazimishe awe ndiyo yule unayemtafuta, utateseka sana

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
344
Reaction score
926
USILAZIMISHE AWE NDIO YULE UNAYEMTAFUTA, UTATESEKA SANA

Mambo ya kulazimishana kwenye mahusiano/urafiki limekuwa janga kubwa la Dunia na wengi wanaoingia kwenye huu mtego hujikuta matesoni.

VIASHIRIA KUWA UPO UNAMLAZIMISHA AWE YEYE ILIHALI SIYE.
1.Unamkosoa sana.
2.Kila siku unambadilisha afanane na umtakaye.
3.Mahusiano linakuwa eneo unalolifikiria sana.
4.Unaona akiwa kwenye hadhi flani ndio utampenda sana.
5.Hata mavazi unataka avae sawa na yule umtakaye.
6.Unageuka mshauri wa mahusiano kila mara

SABABU ZINAZOFANYA UJIKUTE KWENYE KUMLAZIMISHA AWE NDIYE.

1.Kupita na yoyote baada ya kumkosa umtakaye kwa matumaini kuwa UTAMBADILISHA.
2.Kuingia kwenye mahusiano haraka na bila kupona baada ya kuachwa na umpendaye.

#Mwanasayansi Saul kalivubha
#Fikia Ndoto Zako
 
Ndege ni usafiri wa gharama lakini hautakufikisha nyumbani.. jifunze kuheshimu vitu na wakati
 
Back
Top Bottom