Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,560
Wapiii, huwa hamsemagi ukweli nyinyi, you're just cheating us ili tuwaone watakatifu....:!!
laiti ungejua wangu hata ucngesema ivo! tatizo hunijui, naogopa izo mambo mie!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapiii, huwa hamsemagi ukweli nyinyi, you're just cheating us ili tuwaone watakatifu....:!!
Wapiii, huwa hamsemagi ukweli nyinyi, you're just cheating us ili tuwaone watakatifu....:!!
laiti ungejua wangu hata ucngesema ivo! tatizo hunijui, naogopa izo mambo mie!
kama huniamini muulize my classmate mpigamsuli atakupa all details about me! kwanza I hate cheating!
Mungu akutangulie mpendwa, if you're talking the reality of it....
lakini najua ipo siku ntakukamata kule MMU unaomba ushauri, oooh mara he is'nt caring, no surprises, not spending some dollars for me nk nk nk
MMU ndo wapi tena!!
MMU ndo wapi tena!!
Nyoooo!! Yan labda anipe trusted written documents ndio naweza kumuamini lakini kwa mdomo akaaa... yule kaka muhuni-muhuni!!
Samahani mpigamsuli
unajifanya hukujui wakati nakuonaga mitaa ya kule deile! kaone kwanza!!
ahahahaaaaa! tatizo sio kuwa nae! kwani dhambii? tatizo kutojiheshim so hata ukinibamba mmu usinisute best! nishauri tu kwaupendo
mmh! huwa unatafuta nn huko na ww manake nilipitaga cku moja tu sijarudi tena.
nilikuwa naenda kule kwenye gadgets sa si ndo unapitia njia hiyo!
Utu tumchezo twa kubebana kitandani hakatuhusu, tuwaachie wakubwa
worry out mpenda i won't disappoint you nikikufumania kulee mmu
Usinitanie mie, kwanza nilivyokuona huku nilijua umekuja kujitambulisha, coz you're fameless kwa hii jukwaa....
siku nikukubahatisha kuleee lamza nikuchambe walahi
bestiii mi kule huwa nachungulia chungulia wakubwa tu! cfanyagi chochote kile! ila wewe mmh!