Usilete swaga za nai-nai uka......!!!??

Asee bora hata yeye, kuliko wewe mwenzetu chatts55 umehamishia mpaka sanduku lako kule, tena unalalaga kulekule....

ahahahaaa sijui nani kamteka kuke loh! mi nilikuwa jukwaa la dini napiga maombi
 
Last edited by a moderator:
ahahahaaa sijui nani kamteka kuke loh! mi nilikuwa jukwaa la dini napiga maombi

weee! usichume dhambi bure.mi huwa nashinda sayansi na kwenye matangazo nataka boom likitoka ninunue alteza na iphone5
 
ahahahaaa sijui nani kamteka kuke loh! mi nilikuwa jukwaa la dini napiga maombi

Kule kahalalishwa kuwa ----- wa naniii saiv akirudi lazima asimangwe kwann anazungurura mitaa ya majirani
 
Du! Hatari! Mpaka funguo fake za bentley! Sijui fake ni funguo au bentley yenyewe ndio fake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…