Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #41
Aisee, jàna tu nikataka nikuje, lakini nikasema ghafla sana.
wapi mpwayungu na walimu😀
Hili ni noma, balaa na nusu. Pia kuna bifu jipya, Mpwayungu Village na Wasukumawapi mpwayungu na walimu😀
Ungenikosa niko mkoa narudi keshoAisee, jàna tu nikataka nikuje, lakini nikasema ghafla sana.
huyu kijana wetu anaye shida, Anaamini sana imagination.Hili ni noma, balaa na nusu. Pia kuna bifu jipya, Mpwayungu Village na Wasukuma
Ni Mgogo, msamehe burehuyu kijana wetu anaye shida, Anaamini sana imagination.
Tunakuombea urudi salama
Kwahiyo tufungue uzi wagogo au😀, tuujibu ule wa wasukumaNi Mgogo, msamehe bure
🤣🤣🤣🥴Mkuu unanikosea heshima kunifananisha na HOPELESS
Hiyo salamu iko wapi?Bibi nakusalimu
Wewe kibabu kizee, kichawi kichizi
DP WORLDHiyo salamu iko wapi?
Watu huko hatuko tena, sasa hivi tunataka miamaha yote ya kodi kwenye taasisi za kidini ifutwe.
Kuna yule mwamba alitumaga nauli kumwita cute love aje town, alipofika akaona pisi imechanganya oil na maji, akaigea buku 7,800. Hivi yule gwiji anaitwa nani?iKazi ipo hapa.🤔
Ushaliwa kichwa, pigwa ban matata sanaWatu huko hatuko tena, sasa hivi tunataka miamaha yote ya kodi kwenye taasisi za kidini ifutwe.