Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Ni mahasimuMr.Mshana Jr unamshindanisha na nani vile????,common mkuu ,Mr.Mshana ni cherry 🍒 on the sea point carrot cake,pls don't compare him na ...vitu vya ajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mahasimuMr.Mshana Jr unamshindanisha na nani vile????,common mkuu ,Mr.Mshana ni cherry 🍒 on the sea point carrot cake,pls don't compare him na ...vitu vya ajabu
Habari gani?Yule ni mwandishi wa habari, alafu wewe ni bodaboda. Ndicho ninachokijua.
Sorry Kiranja Mkuu siwezi kamwe kuwa na uhasimu na mtu mwenye utambulisho bandia nisiyemfahamu kabisa.. Nitakuwa juha wa viwango vya juu mnoNi mahasimu
Huku lingusenguse kutuloga mmmmmm it's a NOWee Mshana Jr ni cherry ngoja akuloge ndio utajua ni red pepper
Nipe address nafikaje huko.Huku lingusenguse kutuloga mmmmmm it's a NO
Fika kwanza Songea, then panda bus hadi Kijiji cha Lwegu, pale ni ku hike kuja lingusenguse, karibu sanaNipe address nafikaje huko.
Sawa nitafika hukoFika kwanza Songea, then panda bus hadi Kijiji cha Lwegu, pale ni ku hike kuja lingusenguse, karibu sana
InshaAllahSawa nitafika huko
Udaku hahahaaaHabari gani?
Thank you broSorry Kiranja Mkuu siwezi kamwe kuwa na uhasimu na mtu mwenye utambulisho bandia nisiyemfahamu kabisa.. Nitakuwa juha wa viwango vya juu mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika watata aise wewe ni mtata hatari [emoji3]Umeniita? Kulikoni? Nani anaonewa hapa?
Umugaka NLIMUINGIZA MJINI... siku kajanjaruka kidogo.
NLIKUINGIZA MJINI. .... Unishukuru sana. Huko nyuma hukuwa hivi. Basi tuMkuu unanikosea heshima kunifananisha na HOPELESS
Umeongea vizuri sana ndugu yangu. Kongole kwako.Yule ni mwandishi wa habari, alafu wewe ni bodaboda. Ndicho ninachokijua.
UMUGAKA NI MIMI NILIMUINGIZA MJINI PAMOJA NA MPEMBA NAYE AKAJA ENDELEZA.Ila Chizi Maarifa vs UMUGHAKA ni balaa
Moto zaidi ni hawa mahasimu ambao hata wakikutana live ni Israel na roho ya mtu
Dr Matola PhD vs GENTAMYCINE
Umeniita? Kulikoni? Nani anaonewa hapa?
Amina. Unaona vile vijana wanatambiana.Umeongea vizuri sana ndugu yangu. Kongole kwako.