Usilipimie gemu la hawa members, unaweza kudhaani watauana dakika mbili zijazo

Umeniita? Kulikoni? Nani anaonewa hapa?

Hehehe Naona umeliwa ban bibi, yaani umelitibua hadi ban. Utakua na hormone nyingi za kiume wewe, unapenda kupambana na wanaume ilhali dini ya Mwarabu wako ilishakataza na kuagiza mwanamke uishi kwa kutulia, yaani uwe kama takataka.

Mleta mada mbona haujanitaja na nilivyo mzee wa battles humu.
 
[emoji117] huu uzi utaleta shida mahala soon tuu kuna watu wanakwenda kutifuana[emoji23], naziona dalili mbaya haswa mlipoharibu kumshirikisha....au basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…