Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha


Lazima atakua ticha Mabagala huyo [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hapa tu ndio umekosea. Passport hauwezi kuipata siku hiyi hiyo...
Basi kesho yake wale jamaa wakanicheki, wakasema kesho yake niende asubuhi na barua ya mwenyekiti wa mtaa na passport, nikafanya mpango nikapata hivyo vitu, kesho yake nikadamka mapema sana ili niwahi kufika pale,
 
life la.msewe na Golani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…