Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Bado upo nae?
 
🀣🀣🀣sina Akili. Kweli akili huna
 
Hakuna kitu kibaya kama kumaliza chuo tena umesomea kozi ngumu kama hiyo afu unakosa ajira,nimejipanga kuhakikisha wanangu wasipitie hii hali kama nitakuwepo.

Niliwahi kuhahirisha kozi ya mechanical engineering baada ya kusikiliza story za lecture wetu alituambia kama huwezi kupata GPA ya 4 sahau kupata kazi sehemu nzuri sana sana utaishia kufanya kazi kwenye viwanda vya wahindi na mshahara hautazidi laki 4,pia niliangalia mtaani kuna mafundi kibao tu tena wazuri hata vyeti hawana kwanini mimi nihangaike kusoma madude magumu hivi afu huko mtaani hapaeleweki.
Niliacha chuo,baada ya mwaka mmoja nikaomba kusoma kozi nyingine
 
Huyo lekcha wako duuuh! Ilikuwa mwaka gani hiyo?!
 
Qmmke koo umefufuka ? Ebu lete story ya kuzimu sasa baada ya kufa ikawaje uko ulipo saivi
ukitaka msome dante aligieri, oanisha na the inferno cha langdon akielezea jins yule bilionea alivokuwa inspire na safar ya Dante to the inferno.na namna dante alivo describe gates of Hell

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…