Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Kwa mara ya kwanza gari inatembea moshi tu dar bila mtu kuchungulia kontena.ukaguzi unafanyika bila kuchungulia ata nyuma. Gari inafika dar hakuna mahali imesimama ata kwenye taa au foleni aisee. Simulizi imefika patamu
 
Jamaa. Mbona kasema wazi zaidi ya Sehemu 3 gari ilisimamishwa ikiwemo Eneo la TRA.

Na isitoshe kaelezea hata habari za mataa ya Ubungo??
 
Kwa mara ya kwanza gari inatembea moshi tu dar bila mtu kuchungulia kontena.ukaguzi unafanyika bila kuchungulia ata nyuma. Gari inafika dar hakuna mahali imesimama ata kwenye taa au foleni aisee. Simulizi imefika patamu
Yaani ubungo hadi jet no trafick lights wala foeni na kontena lipo wazi? Story ilikuwa mzuri ila imeanza kuharibikia moshi. Tusome tu for fun
 
Uwe unaelewa ,sio kila sekta unajifanya unajua Ila ni kawaida yetu Mana diwani anamshauri Engineer,na mkurugenzi anamhukumu daktari.
Alidai mlango ulikuwa uko wazi.
Kama hujawahi ona madereva wakiwaga hawana kitu kwenye semi zao unaonaga wanafunguliaga mlango mmoja upande wa kushoto ili asisumbuliwe njiani kuwa umebeba Nini Mana ni kontena tupu.
Ila bana yaani wewe unaona weakness yaani ubongo wako sijui ukoje. Sema ni nature ya human brain has evolved through hazards. We always see half empty and not a half full. So keep it up
 
Yaani ubungo hadi jet no trafick lights wala foeni na kontena lipo wazi? Story ilikuwa mzuri ila imeanza kuharibikia moshi. Tusome tu for fun
Ivi mkuu ikiwa ukweli ama uwongo unapata faida gani Kwani ama umesikia kuwa utaombwa hela umsadie. Conserve huo ubongo uutumie kwenye masuala ya msingi wa maisha. Tunapenda uwe Kama bakheresa ama dangote ili utoe ajira kwa vijana wetu na ulipe Kodi shule hospital maji yafikie Taifa.please don't jaribu that energy of your brain
 
Yaani ubungo hadi jet no trafick lights wala foeni na kontena lipo wazi? Story ilikuwa mzuri ila imeanza kuharibikia moshi. Tusome tu for fun
Duh mwamba unasoma kweli? Kataja mpaka TRA, UBUNGO, TAZARA.

Sema yeye alitaka asimame kwa muda mrefu apate mwaya wa kusepa ila Lori tatizo, lipo mbio mbio isivyokawaida ya malori.

Alafu UJUAJI unauleta iliniweje.
 
Kichwa cha habari hii kimejitosheleza. Bado ulienda kusikojulikana. Ila Kuna mijitu ina comment upuuzi kwanza Mimi sisomi ni mwendo wa......

ilipoishia...Sasa endelea....itaendelea

Kwa sababu asikuambie mtu, bwana, kuandika vizuri kawa flow ya stori hivi ndg engineer amejitahidi. Lkn nawaza hwa watoa stor hivi mnafsnyaje huko behind the scenes,huwamnazi hariri Sana? Unatumia dakika au Muda Gani kuandika episode. Mnaokoment hovyo Pana kitu mnakosa sana
 
Mhandisi umetisha, pole sana. Nakumbuka enzi zetu pale coet prof luhanga, ishengoma, dr kyaruzi, dr haule dr kissaka, dr manyahi etc ilikuwa vita haswa ile shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…