Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Hatari na nusu. Mwagilia moyo mtu wangu. Umetisha
 
Anagusia vitu muhimu story akiandika mpk ukaguzi af asionwe c ndo mtadai Ni chai af wewe c ndo choko lile la juu libishi au wewe choko mpya??

Hujui kusoma vizuri eh ebu kasome tena ufiche ujinga wako. Sikukutuma uni quote punguza shobo na IDs za watu
 
mzuka wa kuandika ukishapanda mtu anaweza kuandika usiku mzima na asichoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unajidhalilisha sana kama unaweza jaribu kusoma kimyakimya bila kuchangia chochote maana kupitia story hii nimegundua wewe ni mweupe sana kichwani.
sana nina mvi.... ni mweupe. wewe mwekundu? wewe mbona hujasoma kimya kimya? kuchangia ni haki yangu maana kama ameweka public ina maana ni kwa watu wote nmegundua wewe ni mweusi kwenye ubongo wako .... huna kitu. 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…