Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Mbona sijapanick, mimi nimeongea tu nilichokiona kwa mtiririko wa story, kuwa ni bahati mbaya zaidi kuliko kukosea uamuzi, hata kama tukichukulia ni fictional, bado hoja ni hiyo hiyo
Anyways,sikumaanisha ulivyochukulia..jamaa anajiita Akili Sina ,so sentence yangu ililenga tu kumtaja yeye kwa nafsi yake Hana akili,sikumaanisha majanga yanayompata ndio nikamtoa akili Hapana....by the way Mimi sijachukulia hii simulizi Ni fictional namwamini kabisa kutokana na mtiririko wa matukio....
 
Akili Sina, simulia baada ya kufa nini kikaendelea huko ulikokwenda. Umeonana na malaika? Waliofariki miaka ya zamani mnaonana, au kila mmoja ana cell yake independent?
Hii itasaidia sana kupata majibu ya maswali magumu
 
Mi hapa nasoma huku nikimuombea.... Naogopa sana asipatwe na mabaya.
 
Hii Gari isipotekwa au kuungua huko Congo Sijui.
Maana Akili Sina na Bibi wa Bagamoyo Wapo Pamoja


Hii Gari isipotekwa au kuungua huko Congo Sijui.
Au ulichomoa Bettery 🤣🤣🤣🤣


Maana Akili Sina na Bibi wa Bagamoyo Wapo Pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…