Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Kabisa!maana miezi sita ya gerezani plus mitatu sijui ya kiwandani Sitty mtoto wa magogoni atakuwa keshajiongeza....halafu Ndio amrudie na story eti nilifungwa Hapana kwa kweli inabidi akomae siku akirudi awe tununu Sitty Ndio atafurahi
Kwenye situation kama hio kama ww ndio SitySity jamaa ndio huyo ametokea,unamsaidiaje ?
 
Sasa akimuaga angemwachaje?Hana hata Mia mwamba? mkono mtupu unalambwa kweli?
Mtu unaempenda akakueleza ukweli wa hali ina maana utamwacha aondoke bila kumpa moyo kama mwanzo mlipoachana?[emoji848]
 
Gari yenyeweee ya mafuta ndio ile ilimalizaaa watu morogoro km unakumbukaa nazan mwaka juzi .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenena vyema mkuu. Bado shule ni muhimu hata kama ajira ni chache.
 
Me ndo npo kweny hayo maisha saa hi n kama ananisimulia me, ingawa yangu n tofaut kidgo.

S tu kwa wanaume hata ss wanawake tunapitia maisha fulan hiv magumu had unahs umekosea sehemu, yaan hali ngumu huwa hazchaguagi jinsia.

Nahis n hali ambazo tunapaswa kupita ili tujifunze kitu fulani, lkn pamoja na hayo yote kukata tamaa n zaid ya tatzo na pia kutegemea njia mkato huwa na madhara baadae.

Muhimu n kupambana mpk iwe........😌, lkn kwangu n tofauti nikpata kumsaidia anayepita nilipopita nitamsaidia. Staki kila mtu ateseke kisa me niliteseka hapana 😊😊😊😊
 
Du! Pole sana chief
 
lete story mkuu labda unaweza kusaidiwa kufumbua fumbo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…