Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Akili sina man nishike mkono na Mimi ase maisha ni ngumu kinoma kaka kula mchana naona Kama anasa
 
Ubarikiwe Sana mkuu.
 
Hongera sana mkuu!
Tunakushukuru kwa kumaliza story nzuri na yenye funzo kubwa katika maisha yetu.

Nimejifunza kwenye maisha siku yako ya kufanikiwa ikifika hakuna kizuizi hata kama utajiona una mkosi kiasi gani.

Mara nyingine tunapitia magumu ili tujifunze namna ya kuishi na watu na kuwasaidie wengine wanapokuwa na changamoto badala ya kuwaona ni masikini na wenye mikosi kumbe ni suala la muda tu. Pia tunapopitia magumu tunakuwa na adabu na fedha maana hatutamani kurudi kule tulipotoka.
 
oyaa mpwayungu village we ni faller tu
Angalia wanaume wanavofanya
Utaishia kulia lia hivohvo kenge ww
 
Ungekuwa umesimuliwa usingezijua sehemu zote ulizozitaja hapa kuanzia arusha, moshi, tunduna,zambia mpk DRC
 

Big up bro, simulizi inavutia zaidi ikiwa na mwisho mzuri kama huu. Mungu aendelee kukubariki wewe na familia yako[emoji1488]
 
Mwisho hauji haraka, hii haina maana kuwa mwsho haupo upo lkn unaweza kukawia na moyo ukakosa matumaini.

Mungu akisema ndyo hakuna wa kupinga, mwsho n kwamba kila mtu atatoka kinamna yake hakuna kuyaogopa maisha.

N kupambana mpaka iwe😊😊, uspende mserereko rahis ya ghali unaweza usione mwanzon lkn ikaja kukugharimu baadae.

Yoyote anaweza kuwa msaada kwako kwa wakat usiodhani, tunapita vpnd vgumu ili tuelewe nn maana ya vpnd vgumu. Kama hukuwah lala njaa ukiambiwa na mtu amelala njaa katu hautamuelewa, lkn kama ulilala njaa hakika utajua n nn mwenzio anayapitia.

Kwa kias kikubwa nimepata nguvu mpya, na kujua maana ya mwsho hauji haraka 😊😊😊😊
 
Dah aisee a very ending story. Mkuu umetisha saaana.
Nilichofurahi ni kuwa ulipokelea simu ukiwa mafinga my hometown hapa nilipo sasa.
Mkuu alikisina nakupongeza kwa kutokumuacha Happy aisee.
Nani kakudanganys,Happy kapata nafasi kwa vile Sity is no more. Vinginevyo Sity ndo alikuwa mke wake sahihi ila ndo hivyo Happy ana bahati yake.
 

Upo sahihi kabisa kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…