Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Unalinganisha maembe na mapera!!
Barabara ni neno 1 lenye maana 2.
Passport ni neno 1 lenye maana 1. Maana yake hii hapa (labda kwa picha utaelewa):
View attachment 2240507
Passport size photos (labda kwa picha utaelewa):
View attachment 2240509
Nachoshukuru ni kwamba umeelewa nilichomaanisha. Chris ni kifupi cha Christopher au Christina. Passport na passport size photo yaweza kuwa kitu kilekile. Inategemea limetumika wapi
 
Ila Kuna watu wa gubu humu,wakiona story ya mtu inasifiwa, wataponda na kuchafua ilimradi wamkere mhusika aache kusimulia. Sijui wanapata faida gan. Hiv mnachukukiaje mtu kupoteza muda wake kuandika, kupoteza bando lake na hatumlipi Wala Senti afu bado tunamzingua.

Kama wewe unaona story ya kutunga c upite mbali uwaachie wengine wanaoipenda hivyo hivyo na uongo wake. Tujifunze kuappreciate kazi za watu jaman
Kuna watu ni wachawi kasoro tunguli tu qmme zao!
 
Ila mkuu mengi ni kama unajitakia tu, omba msaada mkuu pale unapoona hali imefikia pabaya sasa kwenda kulala vichakani hiyo ni hatari sana aisehh , ulipomkosa mwalimu mkuu majengo pale si ungeerudi zako arusha maana kanauli ka kurudi arusha sio kama ulikosa hata ungeomba tu mkuu kwa watu mpaka ukajajiingiza kwenye matatizo mengine na kupigwa mvua na vyeti umevipoteza, pia wakati umeenda kiboloroni pale kwanini hukumsubiri muhusika umuombe lift wewe ukachukua uwamuzi wa kuzamia kwenye kontena yani kuna kisa sivielewi na usomi wako mkuu shida ipo wapi? Kuna watu wengi sana wanakosa nauli wanaenda kuomba stendi kwa watu na wanapata misaada
Life is not fair
 
Back
Top Bottom