Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona mkuu, so asingeweza kushuka hukoMizani ya mwisho ipo Vigwaza Kilometer 70 kutoka Dar
Huku kutafutiana sababu kwa tochi sasaYeye ndo chanzo cha wao kukamatwa,sababu nadhani Anko alikuwa na uzoefu wa kuwanunua mademu. Sekeseke lote ni vile siku hiyo wameambatana na mwambam
😀Vijana mjifunze kufanya maamuzi sahihi....story nzima ukiiangalia Ni uwezo was kuprocess mambo kichwani...
Nachoshukuru ni kwamba umeelewa nilichomaanisha. Chris ni kifupi cha Christopher au Christina. Passport na passport size photo yaweza kuwa kitu kilekile. Inategemea limetumika wapiUnalinganisha maembe na mapera!!
Barabara ni neno 1 lenye maana 2.
Passport ni neno 1 lenye maana 1. Maana yake hii hapa (labda kwa picha utaelewa):
View attachment 2240507
Passport size photos (labda kwa picha utaelewa):
View attachment 2240509
Amekuelwa inawezekana anataka tuu kubishana au kajifunza kiswahili ukubwani anajua kiswahili fasaha tu..ila jamaa anacomplicateNachoshukuru ni kwamba umeelewa nilichomaanisha. Chris ni kifupi cha Christopher au Christina. Passport na passport size photo yaweza kuwa kitu kilekile. Inategemea limetumika wapi
Sity keshaolewa naye keshazaa na bwana mwenyewe kigogo, dogo afuatilie mwanawe tu huko kijijiniWeka vitu kaka, ila kama hujanunua simu muombe huyo rafiki yako simu umpigie yule Sity ni muhimu sana
Kuna watu ni wachawi kasoro tunguli tu qmme zao!Ila Kuna watu wa gubu humu,wakiona story ya mtu inasifiwa, wataponda na kuchafua ilimradi wamkere mhusika aache kusimulia. Sijui wanapata faida gan. Hiv mnachukukiaje mtu kupoteza muda wake kuandika, kupoteza bando lake na hatumlipi Wala Senti afu bado tunamzingua.
Kama wewe unaona story ya kutunga c upite mbali uwaachie wengine wanaoipenda hivyo hivyo na uongo wake. Tujifunze kuappreciate kazi za watu jaman
Life is not fairIla mkuu mengi ni kama unajitakia tu, omba msaada mkuu pale unapoona hali imefikia pabaya sasa kwenda kulala vichakani hiyo ni hatari sana aisehh , ulipomkosa mwalimu mkuu majengo pale si ungeerudi zako arusha maana kanauli ka kurudi arusha sio kama ulikosa hata ungeomba tu mkuu kwa watu mpaka ukajajiingiza kwenye matatizo mengine na kupigwa mvua na vyeti umevipoteza, pia wakati umeenda kiboloroni pale kwanini hukumsubiri muhusika umuombe lift wewe ukachukua uwamuzi wa kuzamia kwenye kontena yani kuna kisa sivielewi na usomi wako mkuu shida ipo wapi? Kuna watu wengi sana wanakosa nauli wanaenda kuomba stendi kwa watu na wanapata misaada
😂😂😂😂😂Nyie mko na passport tu mwanzo mwisho....Unalinganisha maembe na mapera!!
Barabara ni neno 1 lenye maana 2.
Passport ni neno 1 lenye maana 1. Maana yake hii hapa (labda kwa picha utaelewa):
View attachment 2240507
Passport size photos (labda kwa picha utaelewa):
View attachment 2240509
Nafasiyaninikamaunaelewekahamnaumuhimuwanafasikanyagatwende.Naombamnielekezejinsiyakuachanafasi