Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Muda ukiwa umeenda, sijui hata ilikuwa sa ngapi, nikiwa nimejikunyata ndani ya kontena mara nikasikia nje watu wanaongea, kupiga jicho nikaona wanakuja kwenye lile gari wana tochi inamulika, Wakafika pale nyuma ya gari wakasimama wakawa wanaongea, nikasikia mmoja anasema " inabidi uwahi maana kibali kina expire saa sita " , mwingine akauliza " kwani linashukia wapi? " Akajibu " Fantuzi", Mwingine akasema akasema " Kagua kontena kabisa kama lipo safi wasije wakakuzingu, mi staki mambo ya kupigiana simu usiku",
Mkuu kama hii story ni ya kweli basi uko vizuri kwenye kutunza kumbukumbu na kama ni story ya kutunga basi uko vizuri kwenye kufanya research mpaka umetaja container inashuka FANTUZZI dah! umenigusa hapo ni ofisni yangu kitambo na ni kweli empty container zinashuka hapo kwa wingi.
 
Mwamba katisha sana humu ashushe nondo tunasikilizia
 
Unalinganisha maembe na mapera!!
Barabara ni neno 1 lenye maana 2.
Passport ni neno 1 lenye maana 1. Maana yake hii hapa (labda kwa picha utaelewa):
1653641062992.png

Passport size photos (labda kwa picha utaelewa):
1653641143515.png

Kama jirani na ulipo kuna stationery (hata ndogo ya kawaida) nenda, kisha waambie wahusika unahitaji passport.

Vitu vingine sio vya kuvutana hat kidogo. Anayesema barabara akimaanisha "sawia" na anayesema barabara akimaanisha "njia ya kupita magari" wote wako sahihi kutegemea na aina ya mazungumzo na sehemu husika.
 
Hatumkufuru Mwenyezi Mungu kwa uumbaji ila kusema ukweli wanaume wenye makalio makubwa wana shida sana, kila saa akili zao zipo matakoni,

Imagine mwanaume anasimulia msoto wa maisha yake na kutoa funzo kwa wengine lakini kuna jitu limeng'ang'ana na vitu vya ajabu ajabu tu, mara sijui nn

kufikia 2030, wanaume tutakua tumebaki wachache sana, wengi watakua wenye uume tu,
 
Back
Top Bottom