Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Huyu kasema hata susa hata wakim dissFanyeni mpango tumpe support [mention]Akili Sina [/mention] kipesa kidogo asije akaishia njiani kama yule njemba ya lindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kasema hata susa hata wakim dissFanyeni mpango tumpe support [mention]Akili Sina [/mention] kipesa kidogo asije akaishia njiani kama yule njemba ya lindi
Natamani mpwayungu village ajifunze hapaFanyeni mpango tumpe support [mention]Akili Sina [/mention] kipesa kidogo asije akaishia njiani kama yule njemba ya lindi
Sio yeye ila ni yule mpenda totoz, ingawa na yeye ana damu ya kunguniDuh! jamaa alikuwa na gundu aisee. Kila anapotia mguu panaharibika. Ona keshawapeleka wenzie polisi ya Zambia sasa.
Mkuu kama hii story ni ya kweli basi uko vizuri kwenye kutunza kumbukumbu na kama ni story ya kutunga basi uko vizuri kwenye kufanya research mpaka umetaja container inashuka FANTUZZI dah! umenigusa hapo ni ofisni yangu kitambo na ni kweli empty container zinashuka hapo kwa wingi.Muda ukiwa umeenda, sijui hata ilikuwa sa ngapi, nikiwa nimejikunyata ndani ya kontena mara nikasikia nje watu wanaongea, kupiga jicho nikaona wanakuja kwenye lile gari wana tochi inamulika, Wakafika pale nyuma ya gari wakasimama wakawa wanaongea, nikasikia mmoja anasema " inabidi uwahi maana kibali kina expire saa sita " , mwingine akauliza " kwani linashukia wapi? " Akajibu " Fantuzi", Mwingine akasema akasema " Kagua kontena kabisa kama lipo safi wasije wakakuzingu, mi staki mambo ya kupigiana simu usiku",
Mwamba katisha sana humu ashushe nondo tunasikiliziaMkuu kama hii story ni ya kweli basi uko vizuri kwenye kutunza kumbukumbu na kama ni story ya kutunga basi uko vizuri kwenye kufanya research mpaka umetaja container inashuka FANTUZZI dah! umenigusa hapo ni ofisni yangu kitambo na ni kweli empty container zinashuka hapo kwa wingi.
Kasumbalesa border zambia [emoji1268] na Congo [emoji1078]Kalumbalesa au
Mizani ya mwisho ipo Vigwaza Kilometer 70 kutoka DarPamoja na hivyo jamaa kalenga kufika dar, je angeshukia mizani ipi? Maana by then mwisho ilikuwa kibaha
Hilo jina mpaka kesho huwa siwezi kulitamka kwa ufasahaKasumbalesa border zambia [emoji1268] na Congo [emoji1078]
Zamani ilikuwa kibaha, vigwaza imehamishiwa miaka ya karibuni.Mizani ya mwisho ipo Vigwaza Kilometer 70 kutoka Dar
Kina furahisha japo mtu unasoma kwa kuogopa... sijui kipi tena kitampata!kati ya kipande kilichonifurahisha ni hiki cha safari
Yeye ndo chanzo cha wao kukamatwa,sababu nadhani Anko alikuwa na uzoefu wa kuwanunua mademu. Sekeseke lote ni vile siku hiyo wameambatana na mwambamSio yeye ila ni yule mpenda totoz, ingawa na yeye ana damu ya kunguni
Zamani ilikuwa Ubungo mataa pale Kijazi darajani kabla ya kupelekwa Kibaha na baadaye Vigwaza.Zamani ilikuwa kibaha, vigwaza imehamishiwa miaka ya karibuni.
Still ni mbali asingeweza kushukia huko.
Kama jirani na ulipo kuna stationery (hata ndogo ya kawaida) nenda, kisha waambie wahusika unahitaji passport.
Vitu vingine sio vya kuvutana hat kidogo. Anayesema barabara akimaanisha "sawia" na anayesema barabara akimaanisha "njia ya kupita magari" wote wako sahihi kutegemea na aina ya mazungumzo na sehemu husika.