Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Nimefurahia story nzima, ila umaliziaji mwanzo ulisema story ya kweli iliyokutokea then eti ulisimuliwa
 
Kwa hivyo mkuu unataka kusema jamaa amempoteza sity kwa kusema amekufa ili story yake ikae usawa na asipokee lawama hapa jukwaani?
Is that make sense kwanini asiseme alikuta kaolewa?..
yah hiyo nayo ni namna nyingine ya kumpoteza Sity lakini sio namna nzuri ya kumaliza movie,kutokana na situation ya jinsi alivomsaidia, sity alishaonekana mwema alafu mwisho aonekane mbaya no sio namna bora ya kufunga story, story ingehitaji muendelezo coz jamaa alikua anampenda.hii ni scripted real story sio uhalisia kwa asilimia zote ,hata yeye mwenyewe amekiri hii story amehadithiwa, ni wazi kama kweli alihadithiwa hakuwa na access ya matukio current kama haya. na ndiyo maana ili kutoa mkanganyiko jamaa hajatumia tarehe kabisa katika story nzima.
 
Da J kumbe bado upo?.
Una moyo wa upendo sana wewe japo 'Akili Sina' hakuwahi kuonja mbususu yako.
 
Ila Mkuu mm niwe muwazi tu wizi ulomfanyia mwenzako wa PC ndo sababu ya yote hayo yalokukuta fimbo ya Mungu imekuchapa haswaaa na hili ni funzo kwa wengine wizi sio mzuri ona sasa ulivoteseka vyote hivo

ila Pole mkuu ndo Maisha
Sio fimbo ya Mungu ni bibi wa kisarawe huyo
 
Mlimpenda nyie wanyonge msiojielewa fikiria miaka 5 hakuna ajira na watu wanahitimu vyuoni kwa maelfu kila mwaka, nyie wenye roho mbaya kilichokuwa kinawafurahisha ni watu kudhalilishwa na kutukanwa majukwaani nyie mnashangilia kama mazuzu utafkiri mnafaidika kwa lolote
 
Tuishie hapa mzee, maana hata tukiendelea hakuna point ya msingi utaongea tutapoteza muda bure.
Alitaka tulimie meno na tuishi kama mashetani halafu ilikuaje akaanza biashara ya korosho halafu msimu uliofuata akachomoa au biashara haikulipa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sikonge,Tutuo,Ipole,Chabutwa ,Mibono,Usunga one,kulikuwa hakuna Shule ya sekondari hata moja,hadi ilipofika 1995 ndiyo ikaanziahwa Ngulu sekondari.

Mtunzi ni wa mchongo.
Acha ujuaji huyu primary atakuwa alihitimu mwaka 2001 hivi
 
Kama kazaliwa 80 mwishoni labda tuseme 88 ina maana hiyo 95 alikuwa ana miaka 7 na labda darasa la pili. Kwahiyo hakuna cha maana unachobisha.
Wajinga ni wengi sana halafu mbaya zaidi wanajikuta kuwa na akili nyingi, sasa hesabu ndogo tu hiyo mtu anashindwa kuikokotoa
 
Alianza kufika Kitonga Kisha akapita Ruaha Mbuyuni wakati anaenda Congo.Huyu jamaa alishaamua kususa hii story sema akakwepa ya Mpwayungu,akaamua kutumia philosophical calmness,akaunganisha unganisha ionekane kamaliza ila hajamaliza hata nusu.
 
Kaka naona unajaribu kuhamisha gori,huyu ni wewe kabisa na hujasimuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…