Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Huyo ni mswahili.

Bado anatunga uongo wake.

Lami ilikuwa inaishia Pugu lakini anakwambia niliburuzwa katika lami nikiwa nimeshikilia gari.

Uongo mtupu
watu kama nyinyiwajuaji hamkosekanagi
kipindi cha mabom gmboto rami ya kisalawe pugu mkeka ulikuwa tayari kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…