Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Wapelelezi kutoka Ulaya kwenye karne ya 19 wangekuwa na mindset kama yako basi ukoloni usingefika Afrika.
 
Mkuu hii ni kweli kabisa hasa kwa wanachuo wengi waliotoka vijijini huko, wakifika mijini na kuona dadapoa huwa wanapagawa sana. Boom lao huwa linaishia kwa hao, wasipokua makini huwa wanapoteza mambo mengi sana kwa punyeto na dadapoa.

Ndio maana pia wanachuo wengine hawanaga time na wadada wa chuo, hao wadada wa chuo huliwa na vigogo na wajanja wengine wa town, wanachuo ni kitaa na hao dada poa.
Sioni chai hapo, endelea na story mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…