Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

Nijuavyo mie Magereza wanauwezo wa kumfikisha mfungwa aliyemaliza kifungo nyumbani kwake hata kwa basi,wanachotakiwa kufanya ni kumchukua mfungwa na kwenda nae stendi/kituo cha basi na kumpandisha gari uwezo huo wanao ila sheria ndivyo inavyotaka ila kutokana na mazingira yetu kibongobongo siku ukitoka unatoka getini mwenyewe
Ni kweli mkuu huwa inakuwa hivyo lakini mwamba alihukumiwa ndani ya manispaa na jela ipo ndani ya manispaa angekuwa alihukumiwa nje ya mkoa aliofungwa angepewa nauli
 
Mkuu hii stori nimeandika mwenyewe kwa mkono wangu, haipo popote unaweza kuipata,

Kama vipi natulia kidogo nisubiri, atakae weza kuniletea sehemu inayofata nampa hela,

Pia mi staki hela ya mtu, kama we unataka chukua wewe ukapige hela huko unakotaka
Hayo ndio majibu!!
 
Inamaana unaamini hii stori ni ya kweli? Kwani ukipitia magumu ndo uamini kila story inayoeleza kupitia magumu!? Hii stori ni tamu ambayo mtunzi amejitahidi kutunga....mtunzi yupo vizuri maana anatengeneza matukio ya kusisimua
Kwanini nisiamini? Mimi naamini story ni ya kweli kwasababu matukio yote yamebeba uhalisia. Haya sema wewe wapi katika story yake panahalalisha ubatili wa hii story?
 
Mkuu hii stori nimeandika mwenyewe kwa mkono wangu, haipo popote unaweza kuipata,

Kama vipi natulia kidogo nisubiri, atakae weza kuniletea sehemu inayofata nampa hela,

Pia mi staki hela ya mtu, kama we unataka chukua wewe ukapige hela huko unakotaka
Mkuu huyo mdau nenda naye taratibu.
Kwa jinsi anavyowashwa washwa na hii story anaweza kuwa ni demu aliyekuelewa anataka umchakate. Huyo mwendee pole pole na story iendelee kama kawaida.
 
Kwanza story ni ya uongo,miaka ya 80 Sikonge yote ilikuwa haina sekondari hata moja
Siku nyingine uache kukurupuka,jamaa kasema alizaliwa mwishoni mwa 1980's. Wewe unakuja hapa kukurupuka eti mtoa mada miaka ya 80's alikua secondary school.
Oya aibu ndogo ndogo kama hizi unaweza kuziepuka ukipunguza ubazazi,unaaibisha ukoo wenu.
 
Usiwaamini Waganga ata chembe apo Mungu anamuadhibu Akili sina na wala sio mganga
waganga ni waongo mnoo
Anamuadhibu kwa kuiba PC au kutembea na malaya au kosa gani? Mbona makosa ya wizi na uzinifu 95% ya wanaume wamewahi kuyafanya, wote wanakumbwa na hiyo mikasa?

Maana nawajua kuna watu wana makosa makubwa mara kumi kuliko hayo ila hawajapewa hizo adhabu

Ni bahati mbaya tu, ambayo humtokea mtu yoyote bila kutegemea makosa
 
SEHEMU YA KUMI NA TISA

Ilipoishia,,,,,,,,,,,,,

Nikakaa pembeni ya mto pale nikamalizia vitunda vyangu, nikanywa maji tena nikajiskia fresh sasa, nikavuka ule mto nikaendelea na safari yangu, nikatembea mpaka msitu ukaisha nikatokea kijijini,

Endelea,,,,,,,,,,,,,,,,

Nikatembea mpaka nikafika kwenye nyumba moja hivi ya udongo, nje kuna watu watu pale wanapiga ulabu, wakawa kama wananishangaa ila mi sikujali, nikanyoosha mpaka kwa mzee mmoja ambaye nilimwona ndo anahudumia pale, nikamsalimia, nikamwambia mzee samahani naomba nisaidie maji ya kunywa, basi mzee akazama ndani akatoka na jagi la maji na kikombe kikubwa, akataka kunimiminia nikamwambia usijali,nikachukua lile jagi na kile kikombe nikaenda kukaa kwenye jiwe pale pembeni nikapiga vikombe vyangu viwili nikatulia,

Basi nikakaa pale nafikiria maana ingawa nilikunywa maji ila kiukweli nna njaa, basi kumbe wale watu bado wananicheki tu, yule mzee akaja akaniuliza vipi we ni mgeni eneo hili, nikamjibu ndio, akauliza umetokea wapi, nikaogopa kumwambia nimetoka jela, nikamwambia nimetoka tabora nimekuja kutafuta kazi, mzee akacheka sana, akasema sasa huku yenyewe vijana hawana kazi na wewe tena unakuja kutafuta kazi, nikamwambia kila mtu na bahati yake, akasema kwaiyo saivi unaelekea wapi, nikamwambia sina mwelekeo wowote,

Basi tukapiga stori na mzee pale nikamweleza jinsi maisha yalivyo magumu kijijini kwetu mpaka nikaamua kuja huku kutafuta kazi, mzee akaniambia kazi za pale kijijini nyingi ni kilimo, mzee ana roho nzuri sana , sijui alijua nna njaa, akamwagiza kijana wake aniletee ugali, kweli mzee ukaja ugali na mboga za majani pale nikapiga, nikanywa na maji nikajiskia nina nguvu sasa,

Nikamwomba mzee nikae pale kwake siku chache wakati natafuta muelekeo, mzee hakuwa na hiyana ila pa kulala ndo shida, akasema kama nitaweza kulala jikoni sawa, nikamwambia mzee haina shida mi nalala fresh tu,basi akamwita mzee mwingine pale akamwelezea, yule mzee nae akaniuliza maswali maswali nikamjibu nikaona katulia, badae nilikuja kujua kumbe yule ndo mwenyekiti wa kijiji,

Nikakaa kwa mzee pale nikawa nasaidia saidia kazi pale nikishirikiana na kijana wake,mzee hana mke, anajishughulisha na kilimo na uuzaji wa pombe za kienyeji, nikaja gundua mpaka gongo anauza ila kwa kificho sana,

Basi nilikaa kwa mzee kama wiki mbili hivi, nikiwa pale nikataka niombe simu nimpigie Sity au Da J ila namba zao kwani nazikumbuka hata!,

Basi siku moja tupo pale, watu kibao wanapiga ulabu, kelele za kutosha, mzee akatuita mi na kijana wake kwa siri, akasema pale mzigo umeisha, tuchukie baiskeli tukimbie tukalete fasta ila tuwe makini huko njiani, mi hata sijui mzigo gani, basi tukachukua baiskeli na kidumu cha lita tano kwenye kisafleti tukaondoka hata sijui tunaenda wapi,

Kijana anagonga pedeli huyo!, Mara tukazama msituni, tunapita kwenye vichochoro huko msituni, tukafika sehemu tukakuta ule mto, tukaacha baiskeli sehemu, tukatembea kidogo kuingia ndani ndani, kufika nilishangaa sana, nilikuta majamaa yametengeneza mtambo huo wa kutengeneza gongo, wale jamaa ni wanasayansi sema hawajui, ile ni simple distilation kabisa, Basi yule kijana akaenda kuongea nao pale akawapa kile kigaloni tukawa tunasubiri,

Tukiwa tumesimama pale tunasubiri hatuna lile wala hili ghafla tukaskia sauti nyuma " mpo chini ya ulinzi, mikono juu, asikimbie mtu" , kumbe ni polisi mzee!!, wale jamaa wakatoka nduki kwenye vichaka huko, tukabaki mimi na yule kijana tumeduwaa pale hatujui cha kufanya,

Tukakamatwa pale tukapigwa mitama tukakaa chini, tukafungwa mashati, wakamwaga ile pombe iliyokuwa kwenye pipa ambalo ndo wametengenezea ule mtambo, wakachukua lile pipa na vifaa vingine, kumbe walikuja na gari wamelipaki mbali kidogo, tukatembea paka kwenye gari tukatiwa ndani, wakapakia na yale mamtambo chuma ikaamsha,

Niko kwenye gari nna waza hiki ni nini tena, nikasema yaleyale yanaanza tena, huu mzimu wa mikosi utaniandama mimi mpaka lini, nikimwangalia yule dogo hana hata wasiwasi, sijui ameshazoea yale mambo!,

Basi ndinga ikatembea mpaka kituo cha polisi majengo, wakati tunashuka nawaza hivi hawa askari si watanikumbuka tena mimi, Tukaingizwa ndani tukachukuliwa maelezo, ikabidi nidanganye jina ili wasije nikumbuka, Tukasweka ndani kwenye kile kiselo, tukakuta masela wengine humo ndani,

Tulikaa mule ndani mpaka usiku ukaingia, tukalala selo, Kesho yake Asubuhi tukaitwa, kutoka tukakuta mzee kaja kaleta na chai pale tukapiga, Basi mzee akafanya mpango pale tukaachiwa, tukatoka nje,mzee anatupa pole anasema ndo maisha hayo ya kumjenga mwanaume, kimoyo nikasema lait angejua kwangu hichi ni cha mtoto, niliyopitia ni makubwa kuliko hili,

Basi tulipotoka pale nje kile kituo hakipo mbali na barabara kubwa, nikawa naona mabasi yanapita,malori yanapita nikasema ile barabara itakuwa ya kwenda dar, nikakumbuka sana dar, mzee akasema pandeni baiskeli twendeni, nikamwambia mzee mi sirudi tena kule, nataka nikatafute gari nirudi nyumbani, mzee akasema sawa hamna shida ,safari njema, basi wakagonga pedeli wakasepa,

Mi nikatembea mpaka pale barabarani nikamuuliza mtu hii barabara inaenda wapi, akasema huku inaenda moshi stand huku inaenda njia panda na dar nikasema asante, nikashika ile ya kwenda dar, nikasema leo ntaenda dar hata kwa miguu, maana huu mji umenikataa, watu wa huku makatili sana,

Nikatembea nafata barabara tu huku nawaza mambo mengi kichwani , nikafika sehemu miguu inauma sasa, nikasikia jamaa mmoja anaongea na simu anasema " ndo nipo kiboroloni hapa nataka nipande town mara moja" , basi nikajua ile sehemu panaitwa kiboroloni, mbele kidogo kulikuwa na semitrailer limepaki pembeni, nikafika pale milango ya gari imefungwa, lengo langu ni kuwa kama linaenda dar niombe lift,

Basi akili ikanituma nisubiri pale mpaka dereva aje, nilikaa pale mpaka giza likaanza kuingia, nikasema sasa hata akija akikataa itakuwaje, ni bora nitafutet sehemu kwenye hili gari nijibanze hivyohivyo, basi nikapanda pale katikati ya tela na kichwa nikakaa, mtu anaweza asinione maana ilikuwa imebeba kontena lile kubwa,

Nikakaa sana pale, nikahisi mkojo umebana, basi nikashuka chini nikazunguka nyuma ya gari nikakojoa, kumbe lile kontena lipo wazi mlango mmoja, nikapata wazo nipande niingie ndani ya lile kontena, basi nikajivuta nikapanda, nikaingia, nikacheki kama kuna mtu kaniona nikaona kimya, nikakaa mwishoni mwa ule mlango ulofungwa kwenye kona kabisa kiasi kwamba ni ngumu mtu kuniona, nikakaa mpaka usingizi ukanipitia,

Nilipo kuja kushtuka nikakuta ngoma inatembea, imechanganya kinyama, nikasema weweiyaa!!!, Shida sijui sasa inaenda wapi, potelea mbali itakavyokuwa ndo hivyo hivyo, ila nikajipa matumaini ilikuwa imepaki kuelekea dar,

Basi ngoma ina amsha , mi nalala nashtuka nalala nashtuka chuma inaambaa tu, basi nilipokuja kushtuka kumeanza kupamba zuka chuma bado inaamsha, tukafika sehemu ikapaki, ni kwenye kamji hivi kamechangamka, tukakaa pale kama masaa mawili hivi, mara chuma ikaamsha tena, tukafika sehemu ikasimama tena, nahisi pale walisimamishwa na trafiki, nikasema nichungulie nje kidogo nikaona jengo limeandikwa TRA Segera, nikajua kumbe tumefika segera,

Basi ngoma ikaamsha tena, jamaa sijui alikuwa anawahi wapi maana hapotezi muda, Huwezi amini nilikuja kushtukia mataa ya ubungo haya hapa, nikasema khaah! Sasa hapa nishuke niende zangu msewe kwa Da J,

Ila gari haisimami sasa, yaani ikisimama kidogo nafikiri nifoleni ile nasema nitoke sasa chuma inang'oa daah! , Mara Tazara hii hapa, nikajua itasimama maana najua tazara kunakuwaga na foleni lakini wapi, ngoma ikaunga kama inaenda uwanja wa ndege, nikasema hii hatari sasa, kama vipi nitulie tu mpaka itakapo simama,

Basi nafkiri ilikunja jeti pale maana badae sikuiona tena ile barabara ya nyerere, Chuma ikatembea mpaka ikafika sehemu kuna geti ikazama ndani, ikaenda ikapaki, nikachungulia huko nje naona malori mengi kama yard vile, alafu kuna geti na walinzi wa kk, ukuta wa hiyo yard ni mkubwa na kuna nyaya zile zenye umeme zimepita juu ili mtu asiruke,

Daah! sasa ntatokaje tena humu ndani, hili mbona balaa jingine tena, nikichungulia naona ma mbwa yanazunguka zunguka humo ndani, aisee hiki kimbembe tena, nikasema hapa polisi pananihusu tena, nikiulizwa nimeingiaje humu ndani nitasemaje, na nilikuwa natafuta nini,

Itaendelea
 
Duuh hii ndo ile tunaita kisanga nusu na robo.
 
Sikonge,Tutuo,Ipole,Chabutwa ,Mibono,Usunga one,kulikuwa hakuna Shule ya sekondari hata moja,hadi ilipofika 1995 ndiyo ikaanziahwa Ngulu sekondari.

Mtunzi ni wa mchongo.
Jamaa kasema kazaliwa mwishoni mwa miaka ya themanini kwa hiyo huo mwaka 95 hata primary inawezekana hakua ameanza sembuse hiyo secondary unayosema sometime relax uckurupuke sana
 
Akili sina , pole sana wewe ni mhandisi ikiwa bado hujatoboa basi hufi mpaka utoboe, shusha nondo kaka.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom