USILOLIJUA KUHUSU KIJIJI CHA "KOLOMIJE"

USILOLIJUA KUHUSU KIJIJI CHA "KOLOMIJE"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe ubashite ulianzia kijijini[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kifupi tu KOROMIJE..ni. Jina la hiki kijiji, jina hili limetokana na wasukuma kushindwa kutamka jina la mzungu mmoja ambaje alikuwa anaitwa JONATHAN mzungu huyo Alikuwa na kisima cha maji pale kijijini ambapo wananchi wengi walitumia kisima hicho kwa ajiri ya kuteka maji.. Wakijilawa(waliamka) asubuhi na mapema na mara nyingi walikuwa wanamkuta kalala... kasheshe ilikuwa kwenye kuamuamsha ili aje awafungulie wakawa wanalitamka vibaya kwa bahati mbaya mzungu alikuwa hajui kisukuma vizuri... mwisho wa siku ili jina lisiendelee kuharibiwa basi akawaambia kwa kiingreza kuwa "Call me J" yaani "muwe mnaniita J" sasa kwakuwa alitamka na hakuliandika kiasi kwamba watu wajue aliaanisha nini wao wakachukua kama ilivyotamkwa na wakaita KOLOMIJE ikawa ndo jina la kijiji
1f61d.png
1f61d.png
1f61d.png
1f61d.png
1f61d.png
1f61d.png
1f61d.png
hiki kizungu tukiache tu maana kilikuja kwa ndege
Call Me J? Wasukuma mbona aibu. I wishi Ai Kudu bi Jonathan
 
Kwezisho, mbona wapo wengi! Mzungu alipoona mbuzi mzima kachmwa na kuiva vizuri, alipoonja na kuhisi utamu wake aka comment "wonderful" wale wajamaa wakaiita nyama ile "ndafu" hadi leo.
Hao hao wachagga walishindwa kutamka vizuri "Check Line" wakaita "Chekeleni" had I kesho.
Kwahiyo hurumia wengi sio wasukuma tu!
 
Napajua A to Z acha kudanganya watu ,me nipo chimbo ntard na full story ya mtuhumiwa
Sasa unapopinga sasa hivi kumbe hata hujui maana, kumbe ndo upo chimbo kutafuta undani sasa si ungenyamaza tu siku ukija uanzishe uzi wako kisha sisi tutakubali tu bila maswali kisha tutasahau habari za huyu wa call me J.
 
kwa kweli wasukuma hawapendi kwao magu pekee ndo kaonesha mfano,kijiji kina watu maarufu na wenye pesa Lakini Huduma za jamiiii zero,zero yaan,a.k.a ubashitenism yaaan.wasukuma igeni kwa jpm sasa kujali kwenu
 
Kifupi tu KOROMIJE..ni. Jina la hiki kijiji, jina hili limetokana na wasukuma kushindwa kutamka jina la mzungu mmoja ambaje alikuwa anaitwa JONATHAN mzungu huyo Alikuwa na kisima cha maji pale kijijini ambapo wananchi wengi walitumia kisima hicho kwa ajiri ya kuteka maji.. Wakijilawa(waliamka) asubuhi na mapema na mara nyingi walikuwa wanamkuta kalala... kasheshe ilikuwa kwenye kuamuamsha ili aje awafungulie wakawa wanalitamka vibaya kwa bahati mbaya mzungu alikuwa hajui kisukuma vizuri... mwisho wa siku ili jina lisiendelee kuharibiwa basi akawaambia kwa kiingreza kuwa "Call me J" yaani "muwe mnaniita J" sasa kwakuwa alitamka na hakuliandika kiasi kwamba watu wajue aliaanisha nini wao wakachukua kama ilivyotamkwa na wakaita KOLOMIJE ikawa ndo jina la kijiji
1f61d.png
1f61d.png
1f61d.png
1f61d.png
1f61d.png
1f61d.png
1f61d.png
hiki kizungu tukiache tu maana kilikuja kwa ndege
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom