we lazima apate mkuu vijana wapo wametuliaHivi kwa mfano huyu Video Queen maarufu hapa nchini Tanzania Masogange akienda huko Koromije sijui Kolomije kwa mvuto wake hawezi kupata Bwana au ikishindikana basi hata Hawara tu?
Sawa mkuuWenyeji wanasema hivyo mkuu
Mwishowe kitakuwa maarufu kama SAMUNGE kwa babu wa Loliondo hahahahahaahahaHiki kijiji cha kolomije sijui koromije nmekijua sabbu ya Daud bashite
MisungwiKwa makadirio tu nahisi Kolomije kinaweza Pata umaarufu Zaidi ya wilaya yake husika Kwimba
.....sababu ya bwana D.
Call Me J? Wasukuma mbona aibu. I wishi Ai Kudu bi JonathanKifupi tu KOROMIJE..ni. Jina la hiki kijiji, jina hili limetokana na wasukuma kushindwa kutamka jina la mzungu mmoja ambaje alikuwa anaitwa JONATHAN mzungu huyo Alikuwa na kisima cha maji pale kijijini ambapo wananchi wengi walitumia kisima hicho kwa ajiri ya kuteka maji.. Wakijilawa(waliamka) asubuhi na mapema na mara nyingi walikuwa wanamkuta kalala... kasheshe ilikuwa kwenye kuamuamsha ili aje awafungulie wakawa wanalitamka vibaya kwa bahati mbaya mzungu alikuwa hajui kisukuma vizuri... mwisho wa siku ili jina lisiendelee kuharibiwa basi akawaambia kwa kiingreza kuwa "Call me J" yaani "muwe mnaniita J" sasa kwakuwa alitamka na hakuliandika kiasi kwamba watu wajue aliaanisha nini wao wakachukua kama ilivyotamkwa na wakaita KOLOMIJE ikawa ndo jina la kijijihiki kizungu tukiache tu maana kilikuja kwa ndege
Sasa unapopinga sasa hivi kumbe hata hujui maana, kumbe ndo upo chimbo kutafuta undani sasa si ungenyamaza tu siku ukija uanzishe uzi wako kisha sisi tutakubali tu bila maswali kisha tutasahau habari za huyu wa call me J.Napajua A to Z acha kudanganya watu ,me nipo chimbo ntard na full story ya mtuhumiwa
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kifupi tu KOROMIJE..ni. Jina la hiki kijiji, jina hili limetokana na wasukuma kushindwa kutamka jina la mzungu mmoja ambaje alikuwa anaitwa JONATHAN mzungu huyo Alikuwa na kisima cha maji pale kijijini ambapo wananchi wengi walitumia kisima hicho kwa ajiri ya kuteka maji.. Wakijilawa(waliamka) asubuhi na mapema na mara nyingi walikuwa wanamkuta kalala... kasheshe ilikuwa kwenye kuamuamsha ili aje awafungulie wakawa wanalitamka vibaya kwa bahati mbaya mzungu alikuwa hajui kisukuma vizuri... mwisho wa siku ili jina lisiendelee kuharibiwa basi akawaambia kwa kiingreza kuwa "Call me J" yaani "muwe mnaniita J" sasa kwakuwa alitamka na hakuliandika kiasi kwamba watu wajue aliaanisha nini wao wakachukua kama ilivyotamkwa na wakaita KOLOMIJE ikawa ndo jina la kijijihiki kizungu tukiache tu maana kilikuja kwa ndege