onesti shirima
Member
- Oct 26, 2015
- 55
- 18
Hapa ni kwamba watakuwa tasaKwahyo unataka kusema mapacha watakua tasa au awatakuja kuzaa mapacha??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa babaSawa bwana mifugo tumekuelewa ngoja kwanza turudi kwa spika na CAG
UMEIONA KWA MIPINDI CHA KILIMO.BIASHKARA STAR TVHaaaaMambo ya SistaNgugu wana jf nimeleta hii thread kuhusu ngombe anaye zaa mapacha:
UKWELI NI KWAMBA:Endapo ng'ombe ata zaa mapacha na akawa amezaa jike na dume hio product haitaweza kuzalisha tena ila endapo wakazaliana wa jinsia moja watakuja kuzaa kama kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila pale hajatoa majibuUMEIONA KWA MIPINDI CHA KILIMO.BIASHKARA STAR TVHaaaaMambo ya Sista