Usilolijua kuhusu ng'ombe kuzaa mapacha

Usilolijua kuhusu ng'ombe kuzaa mapacha

Joined
Oct 26, 2015
Posts
55
Reaction score
18
Ngugu wana jf nimeleta hii thread kuhusu ngombe anaye zaa mapacha:

UKWELI NI KWAMBA:Endapo ng'ombe ata zaa mapacha na akawa amezaa jike na dume hio product haitaweza kuzalisha tena ila endapo wakazaliana wa jinsia moja watakuja kuzaa kama kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UMEIONA KWA MIPINDI CHA KILIMO.BIASHKARA STAR TVHaaaaMambo ya Sista
 
Kumbe ng'ombe anazaa mapacha, sijawahiona!
 
Back
Top Bottom