mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Wana JF
Watu wengi wamekalia lawama nyingi sana na kuhukumu kila kukicha nafasi ya kondeboy Harmonize katika mikakati ya kuangushwa na mpenzi wake na mtu mzima Kajala.
Pengine ufagio mpya alioutumia unaonekana kuwakera wengi tu lakini kwa jicho jipya ni kwamba kisafisha nyumba na kuweka vitu vipya si jambo geni wala si la kubeza kwani ni mikakati ya kusajiri timu yenye uwezo koupinzani.
Kwa hakika kondeboy ndiye mtu makini anayeweza kushindana na diamondi kwa karibu kwani Ali Kiba ashatupwa, kondegang ni lebo ambayo inapigiwa chapuo na watu wengi kuleta ushindani mkubwa wa kimziki.
Mwanzoni kabisa harmonise alikuwa akipiga miziki ya vijembe na majibizano na malalamishi kwa kile alichotendewa na hasmu wake.
Ni muda sana akaona anapoteza muda kwani wasanii wa WCB lebo alikotoka walikuwa bize kumlipia bosi wake ambaye hakuwahi kujibu lolote.
Wasanii wake walikosa muda mzuri kuburudisha watu kwa kipindi kile cha malalamishi. Sasa kondeboy ameona kwenye ushindani nguvu nyingi zinapelekwa kwenye kushadadia mapenzi ndiko watu hutoboa, alipojaribu ndio watu wakaanza kuona sasa anaweza. Kondeboy wasanii wake wamepooza sana.
Hivyo inabidi afanye usajiri makini utakaomlipa mapema ndio maana kaamua kupurula woote aanze upya. Kajala kwa kuwa ni jina kubwa kuna watu wanadhani anamdrive.
Kwanza walianza kwa kutengeneza follower muhimu. Kifuatacho ni kusakiri vijana wenye uwezo wa kutunga mashahiri bora na ya viwango. Msimbeze sana kazi ya kusajiri ngumu sana. Naona anaenda kutoboa huyu kijana