Usilolijua: Mafundi ujenzi waongo ndio wamesaidia maskini kujenga nyumba zao kwa sababu hizi

Nakukumbusha pia fundi huyo huyo naweza kukupeleka sehemu inakopeshwa materials lakini ajbi yeye hakopeshi labour charge zake.yeye anapita na cash yake kama ilivyo hakopeshi hata mia[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The best approach, nimeishuhudia kwa wengi wakifanya hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukitaka kumpata akukopese subiri kipindi cha mvua wengi hawana kazi, kazi kama za lipu, kupiga blandaling, rangi kazi yote ya ndani kama kuweka tylies anakufanyia tu, lakini wakati wa jua kali bei huwa juu kishenzi maana hata mchanga wanaupata kirahisi
 
UJENZI UWA HAUISHI..
Mteja anakuja dukani anakwambia ndugu yangu asubuhi nilikuja na milioni 3 lakini mpaka sasa zimebaki laki 5..
Na hapo nyumba ipo kwenye foundation tu.
"MTU akijenga muheshimu hata kama ni chumba kimoja"


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…