Usilolijua ni Usiku wa giza....

Usilolijua ni Usiku wa giza....

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
6,816
Reaction score
8,809
Habari za jumapili Mabibi na Mabwana......

Hope wote mpo salama sanaaaaaa

Nilifika kijiji kimoja miezi kadhaa iliyopita, nilishangazwa sana na watu wanavyoishi kwa kua sikuwahi kuishi kijijini kabisa hapo kabla.

Nilifika kipindi cha neema sanaa, kipindi cha mavuno, aseee kama ni mavuno ndugu zangu hawa jamaa wamepata sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa si mpunga(hapa heka moja wanatoa gunia 30, ) nieleweni nayoongea, mahindi heka wanatoa gunia 20 vile vile na mazao mengine meeengii

Mwaka huu mahindi hayakua mengi sanaaaa(kwenye hiki kijiji lakini), wao wanakwambia mvua zilikataaa, ila mpunga wametoaa vibaya sanaaaaaa, nikapata mashaka sana inakuaje hapa.

Curiosity Kill the Cat

Ikabidi nianze kutafuta ukweli wa mambo mambo haya yakojeeee...

Ndipo nilienda kwenye kijiwe kimoja cha kahawa nikauliza inakuaje mahindi yamekataa mwaka huu mpunga ukakubali sana

Jibu: Ramli ilionyesha mwaka huu tulime mpunga.

Nikashtuka sanaaaaa, nikaanza kupewa somo sasa

Ni hivi hawa wasukuma hawalimi bila kupiga ramli(fanya research) utaona, yaani ikifika muda wa kilimo wanapiga ramli kwamba zao gani litawatoa mwaka ujao wa kilimo then wanajua wanalima kitu gani.

Wakishapata majibu ndio wooote wanaenda kulima sasa, unaweza ukalima na hawa jamaa sehemu moja yeye akapata gunia 20 za mahindi wewe ukapata 8 kwa heka 1 hiyo hiyo

Ukifika muda wa kilimo nikaambiwa pita kwenye nyumba zao, utaona vibuyu mbali mbali viko njee ujue hiyo ramli imeanza, yaani hivyo vibuyu vina mazao mbalimbali ko litakalo toa mwaka huo watajua.

Mwisho nikimnukuu mmoja wao (nipo kijiji ambapo wenyeji ni wasukuma woote)

"....Msukuma halimi bila kujua mwaka ujao zao lipi litamtoa...."

Sisi tuendelee kumuomba Mungu tu

Mshana Jr
 
hujaongezea na vile vitu vya kuchimbia shambani ili mazao yawe mengi,,,na wanatoa nini ili kuvilinda ivo vitu...hahahaa sasa unakuta msomi wa SUA wa agro bussiness anakuja na kujifanya mtaalamu wa speculation ya mazao na aina ya udongo...watu wanakucheki tu...wote mnalima heka moja na tena we unatumia utaalamu..lakini mwisho wa siku mwenzako anakua na mavuno mara tatu yako,,hapo ndipo unapoilaumu ccm kwa kutokukupa ajira...hahaaaaa
 
Habari za jumapili Mabibi na Mabwana......

Hope wote mpo salama sanaaaaaa

Nilifika kijiji kimoja miezi kadhaa iliyopita, nilishangazwa sana na watu wanavyoishi kwa kua sikuwahi kuishi kijijini kabisa hapo kabla.

Nilifika kipindi cha neema sanaa, kipindi cha mavuno, aseee kama ni mavuno ndugu zangu hawa jamaa wamepata sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa si mpunga(hapa heka moja wanatoa gunia 30, ) nieleweni nayoongea, mahindi heka wanatoa gunia 20 vile vile na mazao mengine meeengii

Mwaka huu mahindi hayakua mengi sanaaaa(kwenye hiki kijiji lakini), wao wanakwambia mvua zilikataaa, ila mpunga wametoaa vibaya sanaaaaaa, nikapata mashaka sana inakuaje hapa.

Curiosity Kill the Cat

Ikabidi nianze kutafuta ukweli wa mambo mambo haya yakojeeee...

Ndipo nilienda kwenye kijiwe kimoja cha kahawa nikauliza inakuaje mahindi yamekataa mwaka huu mpunga ukakubali sana

Jibu: Ramli ilionyesha mwaka huu tulime mpunga.

Nikashtuka sanaaaaa, nikaanza kupewa somo sasa

Ni hivi hawa wasukuma hawalimi bila kupiga ramli(fanya research) utaona, yaani ikifika muda wa kilimo wanapiga ramli kwamba zao gani litawatoa mwaka ujao wa kilimo then wanajua wanalima kitu gani.

Wakishapata majibu ndio wooote wanaenda kulima sasa, unaweza ukalima na hawa jamaa sehemu moja yeye akapata gunia 20 za mahindi wewe ukapata 8 kwa heka 1 hiyo hiyo

Ukifika muda wa kilimo nikaambiwa pita kwenye nyumba zao, utaona vibuyu mbali mbali viko njee ujue hiyo ramli imeanza, yaani hivyo vibuyu vina mazao mbalimbali ko litakalo toa mwaka huo watajua.

Mwisho nikimnukuu mmoja wao (nipo kijiji ambapo wenyeji ni wasukuma woote)

"....Msukuma halimi bila kujua mwaka ujao zao lipi litamtoa...."

Sisi tuendelee kumuomba Mungu tu

Mshana Jr
Taja na hicho kijiji mkuu...
 
Hiyo elimu nzuri sana, yafaa isambazwe nchi nzima.
 
Nakuja kaka mkubwa
 
Hii mbinu ni mbinu asilia ambayo kwa sababu tu ya usasa tunaidharau... Sio kilimo tu bali hata mifugo na ufugaji....
Kuna mbinu nyingi mno wanatumia kutabiri yajayo, ulinzi, kinga nknk
Kwa wafugaji wengi huwafanya mifugo yao irudi nyumbani yenyewe hata kama hakuna mchungaji
Wamasai wanaposafiri kutafuta malisho ukifika usiku wanazungusha duara kwenye mifugo yao.. Basi hapo mifugo haiwezi kutoka...
 
Duuhhhhh, hatari sanaaa asee
 
Back
Top Bottom