Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Habari za jumapili Mabibi na Mabwana......
Hope wote mpo salama sanaaaaaa
Nilifika kijiji kimoja miezi kadhaa iliyopita, nilishangazwa sana na watu wanavyoishi kwa kua sikuwahi kuishi kijijini kabisa hapo kabla.
Nilifika kipindi cha neema sanaa, kipindi cha mavuno, aseee kama ni mavuno ndugu zangu hawa jamaa wamepata sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa si mpunga(hapa heka moja wanatoa gunia 30, ) nieleweni nayoongea, mahindi heka wanatoa gunia 20 vile vile na mazao mengine meeengii
Mwaka huu mahindi hayakua mengi sanaaaa(kwenye hiki kijiji lakini), wao wanakwambia mvua zilikataaa, ila mpunga wametoaa vibaya sanaaaaaa, nikapata mashaka sana inakuaje hapa.
Curiosity Kill the Cat
Ikabidi nianze kutafuta ukweli wa mambo mambo haya yakojeeee...
Ndipo nilienda kwenye kijiwe kimoja cha kahawa nikauliza inakuaje mahindi yamekataa mwaka huu mpunga ukakubali sana
Jibu: Ramli ilionyesha mwaka huu tulime mpunga.
Nikashtuka sanaaaaa, nikaanza kupewa somo sasa
Ni hivi hawa wasukuma hawalimi bila kupiga ramli(fanya research) utaona, yaani ikifika muda wa kilimo wanapiga ramli kwamba zao gani litawatoa mwaka ujao wa kilimo then wanajua wanalima kitu gani.
Wakishapata majibu ndio wooote wanaenda kulima sasa, unaweza ukalima na hawa jamaa sehemu moja yeye akapata gunia 20 za mahindi wewe ukapata 8 kwa heka 1 hiyo hiyo
Ukifika muda wa kilimo nikaambiwa pita kwenye nyumba zao, utaona vibuyu mbali mbali viko njee ujue hiyo ramli imeanza, yaani hivyo vibuyu vina mazao mbalimbali ko litakalo toa mwaka huo watajua.
Mwisho nikimnukuu mmoja wao (nipo kijiji ambapo wenyeji ni wasukuma woote)
"....Msukuma halimi bila kujua mwaka ujao zao lipi litamtoa...."
Sisi tuendelee kumuomba Mungu tu
Mshana Jr